Gx90, Gx 100, vs Gx 110

Gx90, Gx 100, vs Gx 110

The golden

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2018
Posts
1,381
Reaction score
2,586
Ukilinganisha hizi gari zenye engine ya IG ,zile za zamani kama chaser ,gx90 mark II Gx 100 na hizi mark za sasa Gx 110 unaweza kuona utofauti katika uimara wake.

Hizi Gx 110 bodi lake limekuwa laina sana ulilinganisha na zile za awali .
 
Kweli kabisa, lkn bado ngumu. Huwezi linganisha na haya ma Mark X sjui Crown
 
Attachments

  • 1725264803811.jpg
    1725264803811.jpg
    271.3 KB · Views: 47
Familia ya Mark 2 hii au nakosea
Ofcourse hujakosea.. zote ni Mark Series, ilianza Gx80, ikaja Gx90 ikaja Gx100 ikaja Gx110 (Mark11 Grande) na sasa finally ipo Mark X. Hzo gari ni tamu sana. Comfortability na speed.. ndo maana zmekuw zkitengenezwa kwa mwendelezo hadi sasa. Znaaminika mno. Hata izo model za zaman znazishinda gar nyingi za kisasa kwa ugumu na performance. Pia haziaribiki ovyo. Engine ngum.. 1g fe, plain na Beams 2000 VVTi
 
Uko sahihi
 
CreSta na chaser zilikuwa replaced na verosa kwanza
Ofcourse hujakosea.. zote ni Mark Series, ilianza Gx80, ikaja Gx90 ikaja Gx100 ikaja Gx110 (Mark11 Grande) na sasa finally ipo Mark X. Hzo gari ni tamu sana. Comfortability na speed.. ndo maana zmekuw zkitengenezwa kwa mwendelezo hadi sasa. Znaaminika mno. Hata izo model za zaman znazishinda gar nyingi za kisasa kwa ugumu na performance. Pia haziaribiki ovyo. Engine ngum.. 1g fe, plain na Beams 2000 VVTi
 
Hivi mjapan hawezi rudia toleo la gx100? Kwakweli ili kua gari ya ndoto yangu enzi hizo nipo dogo.
Yaani nilikua nikiiona ilipita napatwa na hamu kama kakatiza demu mwenye makalio makubwa.
 
Back
Top Bottom