Chief Ramso a.k.a Zavala yupo ana project zake iringa nadhaniKaka Rama, uko wapi siku hizi? Neema yuko wapi?View attachment 1248072
KBC ( K-singo ) nae juzi tu kamtambulisha msanii EATVMko wapi? View attachment 1248077
Chief Ramso a.k.a Zavala yupo ana project zake iringa nadhani
KBC ( K-singo ) nae juzi tu kamtambulisha msanii EATV
Niletee Mimi Msafiri feat King Kiki
NB : nimewakumbuka Mawingu akina Kolumba Mwingira
Hahahaha, jamaa kanikumbusha wana,KU crew mwanzoni pale court za basketball za Tanesco,Drive inMzawa wa jiji naona unamwaga Nondo,wa mikoani enzi wako wana chunga ng'ombe hawawezi elewa kitu hapo.