Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Mtaalamu mahiri wa masuala ya uchumi nchini, Dkt. Bravious Kahyoza, amechukua rasmi fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Muleba Kusini mkoani Kagera kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Hatua hiyo inadhihirisha dhamira yake ya dhati ya kuwatumikia wananchi kupitia jukwaa la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.