Hahahaaaaa doh watu wengine bhana mnamatatizo yasiyo ishaR. I. P brother Kimbute. Ni juzi tu nimemkumbuka, nilikuwa nafikiria nikirudi Tanzania nimtafute tupige story.
aminApumzike kwa amani.
hata mmi,nahisi badala ya kuchoma ubani tutakuw tunachoma weed na kusmok kama kawa,yaani hadi tunamfikisha kwenye jumba lake la milele sote tuko high kama vile tupo tough gong recordsNatamani siku moja nishudie ibada za majah wanapozika taratibu zao.
Huwa anazikwa na mtu hai!!Natamani siku moja nishudie ibada za majah wanapozika taratibu zao.
Alishafariki kitambo tuRIP gwiji wetu,hivi Kalikawe yuko wapi pia!!!
Kutoa pole ni mpaka umjue Mtu?Simjui