Hata mimi nna hasira..na sijui chakufanya niwe na utulivu kama mzee kikweterole model wangu huyu, kinachoniponza mimi ni mtu mwenye hasira sana.......
HUenda ni tofauti ya kimitizamo..mimi nasimamia hapo..na issue ya jakaya kuweza kuhandle wapinzani at the same time anatoa ajira kila mwaka...lakini wakati huo huo siasa za kimataifa yuko njema..na hela mtaani iko...wafanyakazi stahiki zao zote walikua wanapata kwa wakati...je nani aliyewahi kufikia kipimo hiko ikiwa jk ndio SI unit ya utu na maendeleo Tanzania??? Je nani anaweza kuvaa viatu vyake??..Sifa za kijinga ..mtu mjinga mjinga akisifia ujinga wa mjinga mwingine
Sure the same, mimi nikiweza hata nusu yake ninaweza kuwa mtu mwenye furaha duniani.role model wangu huyu, kinachoniponza mimi ni mtu mwenye hasira sana.......
Mimi niwe member wa familia hiyo😀😀😀..?? (Nisingeandika uzi wa kupewa connection ya wavaa suti na mawani)..... Izo ni imani na fikra zako mkuu ....mimi upande wangu naona yuko njema..na hilo hata shetani hawezi kubadiliHopefully huyu member wa familia kaona ule uzi mwingine kaja kuneutralize kdg mambo ya baba hapa kwa niaba ya ukoo, tuambie na alitokaje CTU kwa Sayore...
Gwiji wa siasa aliyeanzisha mchakato wa katiba kwa kuiba hoja ya upinzani then akarudi mwenyewe na fitna zake kuuharibu, mnafiki sana huyu mzee, akitutoka nchi huenda itaanza kurudi ilipokuwa. Kila uchafu na dilution ya profesionalism ilianzishwa na huyu na mkewe! Eti gwiji..