NTEGEYE Jr
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 322
- 286
Kunywa kiroba na aspirin 3Kubana matumizi ni Kinda upuuzi
Last year ilifutwa this year imefanyika.. Na vyote vimeonekana sawa tu. Ndio tujielewe kuwa ni wapumbavu sisi watanzania mkapa alikuwa yupo right...
Kunywa kiroba na aspirin 3 utapunguza maumivuKubana matumizi ni Kinda upuuzi
Last year ilifutwa this year imefanyika.. Na vyote vimeonekana sawa tu. Ndio tujielewe kuwa ni wapumbavu sisi watanzania mkapa alikuwa yupo right...
Nadhani kuna haja ya watu kueleweshwa tofauti kati ya kikundi cha gwaride(Guard) na kikosi.Leo katika maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru, nimefurahishwa na Kiongozi wa Kikosi cha gwaride la Kimya kimya.
Lakini zaidi sana nimefurahishwa na ushiriki wa Afande Balotel maarufu kama KIWI hasa akiwa anakata Kona na wakati wa kunyoosha mistari.
Anafanya yote kwa umahiri na uimara kama anacheza ngoma vile.
Umenipanua Ubongo. Asante mkuuNadhani kuna haja ya watu kueleweshwa tofauti kati ya kikundi cha gwaride(Guard) na kikosi.
Kikosi kwa lugha rahisi ni kituo kamili cha kijeshi mfano labda 502 KJ, hiyo KJ ni kifupisho cha neno "kikosi cha jeshi"
Kikosi cha jeshi ni kituo kamili chenye uongozi wake na mkuu wake ndo Commandant(Commanding Officer) wengi hufupisha kwa kuita CO, then ana wasaidizi wake na askari wengine kibao.
Jumla ya vikosi katika katika kanda (mikoa kadhaa) tunaita brigedi mfano brigedi ya kusini, hapa mkuu wa brigedi ndo kiongozi mkuu.
Otherwise niseme nami kile kikundi cha gwaride la kimyakimya(silent guard) kimefanya vizuri sanaaa
Hongera zao
Mkuu alisema mwaka Jana sherehe ingefanyika ingegharimu Bil. 4 lakini mwaka huu imefanyika kwakuwa gharama zake ni ndogo (angesema ngapi tungethaminisha kuwa ndogo au kubwa)Kubana matumizi ni Kinda upuuzi
Last year ilifutwa this year imefanyika.. Na vyote vimeonekana sawa tu. Ndio tujielewe kuwa ni wapumbavu sisi watanzania mkapa alikuwa yupo right...