Tafute pesa, hawakufika huko siku mojaGwaride la kijeshi la China 1949 Vs 2025View attachment 3465050
Tusikate tamaa labda kuna siku nasi tutafika huku
Kauli za kisiasa sababu hayo mataifa yenyewe yanazidi kusonga mbele kutoka hapo walipo, by then tunawafikia wap watakuwa kwengineNakumbuka siku ile kikwete anafunga bunge alisema wakati fulani Tanzania itakuwa imefikia marekani kwa uchumi maendeleo na teknolojia.
Ili iweje?Gwaride la kijeshi la China 1949 Vs 2025View attachment 3465050
Tusikate tamaa labda kuna siku nasi tutafika huku
sijajua, lakini CCM washafeli.Chama gani sasa mkuu ?
Tatizo letu we are speeding in a wrong direction!! Ngoja tuone!Gwaride la kijeshi la China 1949 Vs 2025View attachment 3465050
Tusikate tamaa labda kuna siku nasi tutafika huku