K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,270 Reaction score 13,902 May 30, 2025 #1 Gwajima > Wafanyabiashara wa G55. Kwamwao elewa Gwajima mmoja ni zaidi ya G55 wote. Mfukuzeni awe huru kuongea na kusaidia taifa mapema.
Gwajima > Wafanyabiashara wa G55. Kwamwao elewa Gwajima mmoja ni zaidi ya G55 wote. Mfukuzeni awe huru kuongea na kusaidia taifa mapema.
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 6,543 Reaction score 23,844 May 31, 2025 #2 Hawawezi kumfukuza. Wanaogopa impact yake