Gwajima sahau ubunge

Tafuta shughuli ya kufanya 2025-2030
Kwani alikuambia anautaka?
2020 hata kura za maoni hakushinda, nyie wenyewe kwa kiherehere chenu mkaiba kura kumuweka madarakani, leo anawakosoa mnafunga kanisa lake.
Na kuna wengi tu mnao wabeba watawageuka.
Tena mkubwa kuliko Gwajima.
 
Tafuta shughuli ya kufanya 2025-2030
Kwa hiyo huko kwenu ubunge unagawiwa kama peremende!
Anayegawa ni nani, anyefuga jamii yenu kama mifugo yake?

Akili mbovu kama hizi zako ndizo Samia anazozitaka waTanzania wote wawe nazo.

Safari hii atakwama.

NO REFORM, NO ELECTION.
 
Huo ubunge wenyewe alipewa na magufuli kwa wizi wa kura , hakumshinda Halima Mdee
Hili ni jiji, sio rahisi mlugaluga wa maporini kushinda labda uwe na koneksheni
Tuliona kilaza Bashite alivyofanywa na wajumbe
Labda akagombee huko maporini alikotoka.....
 
Mnazidi kuthibitisha kuwa No Reform No Election ni ajenda sahihi sana.

Kwa hiyo CCM ndo mnaamua nani awe mbunge sio kura za Wananchi?

Asanteni sana kwa kuendelea kuthibitisha kuwa Watanzania tuko sahihi sana kuiunga mkono No Reforms No Election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…