Gwajima ni kiboko!

Gwajima ni kiboko!

Huyu jamaa Hua Ana mikwara aiseee ,na Hua Ana msimamo hivi,alinifurahisha Sana alimpojibu bulembo na kumwambia "Bulembo nikijibu Tanzania itatikisika,halaf mi nitajibu waliokutuma ,bulembo usiponyamaza nitakufata ulipo mim Nina helkopta iko Tu pale nje imepaki,usidhan haina mafuta"
aisee Gwajima hunipa raha Ana vituko Sana
kama unajua mengne tuweke hapa tufurahi
halaf tumebakiza siku 1 Tu tupige kura ,usipoteze kura yako chagua Lowassa,mbunge WA ukawa na diwani WA ukawa
siku njema
cc nifah tofali kim Nana cute b na wengineo wengiii

Mademu wenye akili mko wachache sana ,hongera
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo umekaaaaaa, ukafikiriiiii, ukaona hiki ndo cha kuleta humu watu wenye akili zao wajadili sio? Shame Upon U!

Jamani kuna uhuru wa maoni na kuongea pasipo kumkwaza mtu. Wewe kama unaona akili zako ziko juu ya huu uzi basi pita kimyakimya nenda kwenye uzi ulio sawa na akili zako.
 
Hana Jipya, habari ya Mjini ni Magufuli

Maelfu ya wananchi wakiwa wamefurika kwenye Viwanja vya Kibandamaiti, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za CCM, uliofanyika leo kwenye Viwanja hivyo mjini Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk. Ali Mohammed Shein akisalimiana na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu hassan baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar.
Mgombea wa Urais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein akimsalimia Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika kwenye Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar leo. Wengine ni Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi na Waziri Kiongozi Mstaafu, Shamsi Vuai Nahodha
Mgombea Mwenza Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk. Ali Mohamed Shein, katika mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo katika viwanja vya Kibanda maiti mjini Zanzibar.
Kijana wa Kimasai anayeishi Zanzibar, akishangilia kwa dhati wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Makamu wa Rais Dk.Mohammed Gharib Bilal akihutubia mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibanda maiti mjini Zanzibar
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akizungumza kwenye mktano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Blal akimpongeza kwa hotuba nzuri Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi baada ya kuhutubia mktano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar
Dogo Aslay akitumbuiza wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo Kibandamaiti mjini Zanzibar
Shabiki wa CCM akishangilia kiaina wakati wa mkutano wa kufunga kapnei za CCM uliofanyika leo kwenye viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar leo

Mgomea Mwenza wa Urais kwa tikei ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibanda maiti mjini Zanzibar.
 
Back
Top Bottom