Gwajima ni kiboko!

Gwajima ni kiboko!

tuwekee na hiyo clip wengine huwa hatumsikilizi huyo jamaa akisikia tu kova anakuja "anazimia hapo hapo"
 
tunachinja kuanzia Raisi,mbunge hadi dewaneeeeeee kwa raha zetu,halaf shosti usisahau kwenda na kidumu cha maji sawaa

Yaan naanzaje kuacha kubeba ingali nilijiandikishia mkoa wa mabomu....
Kura yangu kwa lowasa...
Kura yangu kwa lema.
Sidanganyiki na siuzi kura yangu...kesho mamito napanda basi la bure hadi A city...
Hata gwajima angegombea ningempa kiboko ya ccm...
 
tuwekee na hiyo clip wengine huwa hatumsikilizi huyo jamaa akisikia tu kova anakuja "anazimia hapo hapo"

Kweli ndo maana tunasema elimu mara nne,wew kwa akili yako unadhani alizimia kwa kumuona kova sio sumu zao za kunusisha,hakika watanzania kama nyinyi ni liability kwa taifa ndio maana u still embracing ccm.
 
Yaan naanzaje kuacha kubeba ingali nilijiandikishia mkoa wa mabomu....
Kura yangu kwa lowasa...
Kura yangu kwa lema.
Sidanganyiki na siuzi kura yangu...kesho mamito napanda basi la bure hadi A city...
Hata gwajima angegombea ningempa kiboko ya ccm...

Aisee kuna mtu ameshikilia waya, nimeshidwa kukuconnect.
 
Huyu jamaa Hua Ana mikwara aiseee ,na Hua Ana msimamo hivi,alinifurahisha Sana alimpojibu bulembo na kumwambia "Bulembo nikijibu Tanzania itatikisika,halaf mi nitajibu waliokutuma ,bulembo usiponyamaza nitakufata ulipo mim Nina helkopta iko Tu pale nje imepaki,usidhan haina mafuta"
aisee Gwajima hunipa raha Ana vituko Sana
kama unajua mengne tuweke hapa tufurahi
halaf tumebakiza siku 1 Tu tupige kura ,usipoteze kura yako chagua Lowassa,mbunge WA ukawa na diwani WA ukawa
siku njema
cc nifah tofali kim Nana cute b na wengineo wengiii

Akili za kipedipedi hizi. Hawa dadazetu wakishaanza kuvuja baada ya maumivu kukimbilia tumboni haya yameenda kichwani. Dah ndio maana sikuzote mwanamke kwake jikoni usiku asubiri kumstarehesha mfalme wake. Eti kaita na wenzie washuhudie huu utoko wake.

NUNG'AYEMBE AT WORK NDIO MAANA YULE FIRST LADY WENU WALIMTIA KIDOLE JUZI.
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo umekaaaaaa, ukafikiriiiii, ukaona hiki ndo cha kuleta humu watu wenye akili zao wajadili sio? Shame Upon U!

Na zile thread zako unazo leta humu ni za maana sana nini hujui kama raia tunakuchora tumekaa pembeni huku!
 
Helkopta ya Gwajima haijalipiwa kodi stahiki - Magufuli.
Mwambie aondoke nchini maana mh rais Magufuli anakuja kumshughulikia.
 
lingine ni lile la misikiti kugeuzwa sunday school....

subhanna allah.. halafu ndio nipigie kura ukawa.. ili wakishinda misikiti ya waislam wenzangu ikageuzwe kuwa sunday school... hapana naogopa moto wa ALLAH S.W...acha wasiogopq wakapige
 
Huyu jamaa Hua Ana mikwara aiseee ,na Hua Ana msimamo hivi,alinifurahisha Sana alimpojibu bulembo na kumwambia "Bulembo nikijibu Tanzania itatikisika,halaf mi nitajibu waliokutuma ,bulembo usiponyamaza nitakufata ulipo mim Nina helkopta iko Tu pale nje imepaki,usidhan haina mafuta"
aisee Gwajima hunipa raha Ana vituko Sana
kama unajua mengne tuweke hapa tufurahi
halaf tumebakiza siku 1 Tu tupige kura ,usipoteze kura yako chagua Lowassa,mbunge WA ukawa na diwani WA ukawa
siku njema
cc nifah tofali kim Nana cute b na wengineo wengiii
Ananguvu za mapepo tu huyo, hana lolote. Si uliona alivyopelekeshwa na pengo mpaka ikabidi aombe msamaha kisiri siri asife (maana alisema sasa mzee nikiomba msamaha kupitia vyombo vya habari nitakimbiza kondoo wangu wanaonipatia riziki) chezea freemason kwa freemason
 
Huyu jamaa Hua Ana mikwara aiseee ,na Hua Ana msimamo hivi,alinifurahisha Sana alimpojibu bulembo na kumwambia "Bulembo nikijibu Tanzania itatikisika,halaf mi nitajibu waliokutuma ,bulembo usiponyamaza nitakufata ulipo mim Nina helkopta iko Tu pale nje imepaki,usidhan haina mafuta"
aisee Gwajima hunipa raha Ana vituko Sana
kama unajua mengne tuweke hapa tufurahi
halaf tumebakiza siku 1 Tu tupige kura ,usipoteze kura yako chagua Lowassa,mbunge WA ukawa na diwani WA ukawa
siku njema
cc nifah tofali kim Nana cute b na wengineo wengiii
Na ujue hata alipomjibu slaa kuhusisha maaskofu na mashehe kuhongwa wote ni kama walikubaliana na gwajima maana hakuna aliyeibuka kumpinga. Viva gwajima viva lowassa viva mashehe viva maaskofu Tulianza na Mungu tunamaliza na Mungu
 
Last edited by a moderator:
Akili za kipedipedi hizi. Hawa dadazetu wakishaanza kuvuja baada ya maumivu kukimbilia tumboni haya yameenda kichwani. Dah ndio maana sikuzote mwanamke kwake jikoni usiku asubiri kumstarehesha mfalme wake. Eti kaita na wenzie washuhudie huu utoko wake.

NUNG'AYEMBE AT WORK NDIO MAANA YULE FIRST LADY WENU WALIMTIA KIDOLE JUZI.
Braza ulipasuka jiweni???
 
ila haya mambo ya watumishi wa makanisa kuingilia siasa,na kuwaletea waumini siasa kanisani sijui ni watumishi wa wapi kweli.
 
Back
Top Bottom