Gwajima na Polepole Mmemaliza?

Gwajima na Polepole Mmemaliza?

BOSSES

Member
Joined
Jul 2, 2025
Posts
51
Reaction score
41
Nadhani walikaa mafuchoni na kutoa ya moyoni. Je mmemaliza kuongea au mtatafuta tena muda kuongea tena?
 
Hilo swali wanaulizwaga wanaume wasiopendwa na wanawake zao mara tu wamalizapo tendo na jamaa kufika mshindo
 
Kuna makombora yakianza kuchomoka utajua kama pole pole kamaliza au bado!! Chama kijisahihishe.
 
Back
Top Bottom