kudamademede
Member
- Jan 1, 2020
- 62
- 241
Gwajima ni mdini na makabila aliye pindukia. Tunao ishi Kawe lilipokua kanisa lake tunajua vizuri.Mimi ni mwana-CCM lakini sitaki Gwajima awe mgombea wetu hata kwa dawa.
Kwanza ana chuki za wazi dhidi ya makundi mengine ya watu, mfano; hawapendi waislam hata kuwaona (Mdini) na alishaanza kutoa vipeperushi tena kwa lugha ya kisukuma (Mkabila)
Lakini pia huyu bwana atakuwa anakinajisi chama kwani tayari ameshachafuka na ushahidi wa wazi upo.
Kwahiyo kwa maslahi mapana ya nchi na chama huyu bwana ni bora zaidi akiwekwa pembeni maana yeye mwenyewe kashindwa kujitambua na kujiweka pembeni kwa hiyari yake.
Anawaumiza kweli hamlali mnaweweseka kupita kiasiHuyu muhuni na tapeli AWAUMIZE Vichwa Chadema? hahahahahahahahah
Udini upi wewe ndiye mdiniGwajima ni mdini na makabila aliye pindukia. Tunao ishi kawe lilipokua kanisa lake tunajua vizuri.
Hivi umesahau kuwa Gwajima amewachimbia waislam maji misikitini au unajitoa ufahamu?Wewe ni muongo huko kawe ukwamani.
Unajua jinsi waislam walivyokua wanamuwekea vikao gwajima juu ya chuki zake kwa uislam. ? .
Unajua ngonyani alivyo piga hela Milioni tano ya gwajima akidai ametumwa na msikiti wa shamsia wa kawe mwisho. ? . Na baada ya hapo gwajima akawa dhihaki waislam kua msikiti wa shamsia Kuna tofali lake? .
Unajua jinsi gwajima alivyokua akiushambulia ukatoliki wazi wazi huku akijua pale pekasi aliokua ni karibu na kanisa katoliki. ? .
Unajua jinsi gwajima alikua ana muhonga hela Hasan faraji ngonyani, ili azime malalamiko ya waumini wa kiislam wa hapa kawe mzimuni. ? . Au unadhani ngonyani alivyokua atoa mgao kwa wajunbe wa ccm wakiongozwa na Marehemu hamza mwinyimadi na Marehemu kigodora watu hawajui. ? .
Kwa hapa kawe mzimuni na ukwamani, watao mpigia upatu gwajima ni wajumbe wa nyumba kumi wa ccm walio kua wanufaika wakubwa wa rushwa zake zilizokua zikipitia kwa alikyekua mwenyekiti wa mtaa wa kawe mzimuni ngonyani.
Kwa hapa kawe ukwamani, mzimuni, udoweni, mikoroshini, maringo na mjimpya hunidanganyi chochotee.
Sasa hofu yenu ni nini maana yeye ametangaza nia tu tena ndani ya chama lakini naona mnatoa Sana povukudamademede,
Si apitishwe apambane? Yeye anaoneshwa jinsi ambavyo hafai kuongoza Kwa kauli zake na matendo yake. Aachiwe tuu awe Mboga ya Wapinzani. Ina maana CCM wote wameisha kuwakilisha Kawe amebaki Gwajima? CCM ni Makini hawawezi kumpitisha.
Na itageuka kweli kwahiyo leo hii mnaogopa ndoto?Gwajima huyu huyu mwenye ndoto ya kuona Misikiti ikigeuzwa Sunday Schools?
Wewe ndugu yangu nilikuwa nakuheshimu Sana najua wewe ni mtu wa hoja acha kuleta vibonzo