Ile video Yule sio Gwajima
Tukumbuke huyu mtumishi keshaandamwa na kuzushiwa Mengi,keshaitwa central Mara nyingi kwa tuhuma tofauti mpaka kupelekwa kwa mkemia mkuu kupimwa mikojo !ni wazi huyu mtu ana maadui wengi
Mie sina dini....kwa akili yangu na upeo wangu mdogo nilionao nasma hiyo vidio ya kubumbaaa..kuna kitu gwajima anatafutiwa na usishngae hata hiyo press na media anawza akashindwa kufanya leo coz hawatamuachia le😵ver!