eti leo hii humu jf asilimia kubwa wamekuwa arafiki wa clouds redio ya wafu,nasema makonda angeenda kujilipua na hawa wapuuzi wa clouds,hawa wajinga baada ya wiki or so mtawaona next to ccm elites au wakiwapaisha...you can't trust a traitor like ruge