Gwajima kesho kusuka au kunyoa

Baba askofu hakuna alipo kosea..Na asye kosea ni malaika peke yake fata neno sio matendo
Mbona unasema hakuna alipokosea, alafu kama unamtetea kwa kukosea jambo hivi [emoji16]...au ndio unamtetea kwa kutokukosea kwake? Haha, nimecheka kwa sauti asee...
 
Uwezo wako wa uandishi unasikitisha sana
 
Mngetoa kabisa video ili watu wawaelewe kabisa
 
Hivi hakuna watu waliobobea kiroho ili wamuombe Mungu awonesha mwanga wa hili jambo kwa njia ya kiroho au hatutawaaminj?
Nawaza tu.
 
Binti kalala kisha kaangalia pembeni na kumuacha mwanaume amalize mchezo,mbali na kukata kiuno hata miguno hiyo inaweza kudhihirisha namna gani lilikuwa ni tukio la kuandaliwa(japo sina uhakika).
Mwanamke hakuwa emotional.
 
kuna watu wabaya wanasema Bashy boy ametengeza hii vidio,lakini nijuavyo bashy alishamaliza tofauti na gwajima na last sunday kama sikosei kulikua na uzi humu ukionyesha picha ya pamoja,sasa iweje sasa wamepatana kisha iibuke hii video siku mbili baadae?
 
Video ya Ngono ni ya Gwajima mwenyewe.
Sisi majirani zake tunayemwona kila mara tunamtambua vizuri sana.

Asimsingizie Mkuu wa Mkoa.

Gwajima umeanza zamani kufanya Uzinzi na waumini wako na majirani zako.
Ulishalalamikiwa pia na Mbasha kwa mkewe Flora.

Neno linasema iko siku matendo yako maovu yataoneshwa hadharani, yataonekana kwenye mwanga, juu ya Kinara yatatangazwa.

Hivi Gwajima unafikiria Neno linaongopa ?

Umeona leo limetimia kwako...!

Usimchezee Kristo Gwajima, yeye ni Mungu mwenye Nguvu, Mfalme wa Amani.
Mungu ni Mwema sana, huwezi kumchezea namna hiyo.
Kama unataka kuwa Askofu na Uwe Askofu.
La sivyo njoo mtaani uziridhishe tamaa zako.

Gwajima ukiendelea kumdhihaki Kristo kwa kujifanya Askofu huku unafanya uzinzi na makahaba, utakuja kufa Gwajima.

Usicheze na Neno la Mungu, ni Moto ulao.

Gwajima usipoteze muda wa kujisafisha, bali jitathmini kama unafaa kufanya kazi ya utumishi wa Mungu.

Kwasasa umepoteza sifa za kuitwa mtumishi wa Mungu.

Kwako sasa ni muda wa kutubu na sio kujitetea kwa Wanadamu kana kwamba unawatumikia Wanadamu.

Jitafakari Gwajima.
 
Umetumia nguvu nyingi sana
Mbona kuna picha gwajima amepiga na yule dada?
Mapazia yale ni ya chumbani kwa gwajima
Tutathibitisha vipi kwamba ile video ya askofu ni ya 2008 eti hata kanisa halijamalizika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…