Gwajima kesho kusuka au kunyoa

Gwajima kesho kusuka au kunyoa

huyo chid ni chid nani?,huyo cesil mbona hamna ubin na pia huyo alfonso,pengine ungetoa ubin watu wangeweza kuunganisha doti na kukubali maelezo yako@estone
 
Binafsi bado sijaona uhusiano wa moja kwa moja kuwa yule ni Gwajima. Nafsi inakataa kabisa kukubaliana na ile video, bado ile sura inagoma kushabihiana na mtumishi.. Anyway, huwa najitahidi kutunza akiba ya maneno, maana unaweza kumpaka mtu matope halafu isiwe kweli. Bora kuwa na kiasi.
 
#Dr_Bishop_Gwajima
Video ya Gwajima akifanya ngono imetegenezwa na IT vijana wa mkuu wa mkoa wa Dar esalaam saa chache ilitumwa kwenye Group la whatsapp la watumishi wa mkoa baadaye kusamba kwenye magroup mengine.
Clip ambayo Bishop Dr Josephat Gwajima akiwa kifua wazi 100% ni snap yake ila aliyetegeneza clip hiyo aliunganisha clips mbili kwa wakati mmoja yani
-
-
Ile Joseph Gwajima akiwa kifua wazi hii ni clips ambayo Josephat Gwajima alijirekodi mwaka 2008 ndani ya kanisa lilikuwa hata bado halijakamilika na
-
-
Clip ya pili anaonekana Dr.Josephat Gwajima akifanya mapenzi hiyo ni picha ya kijana mmoja anajulikana kwa jina la Chid kichwa cha Gwajima kimekuwa croped kutoka kwenye clip yake nyingine pamoja na dada anayejulikana kwa jina la Cecy ambao wote wawili ni waathirika wa madawa ya kulevya japo kwa sasa wamepona kabisa wanatokea sober house Kigamboni walicheza hiyo clip kwa makubaliano maalum ya kulipwa mil 15 kwa wote wawili wakati editor alipata mil 5
-
-
Walilipwaje pesa nyingi hivyo wakati walikuwa wanafanya hicho kitendo wakiwa #FACE_OFF tukio lenyewe lilifanyika eneo la ukumbi ambao ulipambwa jukwaani ili ufanane na picha waliyokuwa wakiichukulia sample japo walifeli kidogo wakati wa kulinganisha pia kulikuwa na watu wanasimamia zoezi zima kama wamefumaniwa!
-
-
Kwenye hiyo clip ananaonekana Gwajima akinyoosha mkono kuiziba Camera mbapo inaonekana kuna mtu alikuwa anachukuwa tukio sasa iweje Gwajima aone mtu akichukuwa tukio halafu aendelee kufanya mapenzi?
Iko hivi kabla sura ya Gwajima haijapachikwa kwenye hiyo video makubaliano ilikuwa sura ya Chid na dada Cecy zisionekane sasa kipande hicho kinaonekana mkono ukizuia camera Chid alishtuka baada ya kuitwa na Alphonso (Editor) kwamba atizame camera ndipo Chid alipo paniki hapo kuna sauti iliondolewa ‘”we msenge vipi mbona unataka kuniuzisha sura? wakati makubaliano sura zetu zisionekane? Alphonso akamwambia usiwe na wasiwasi hapa natafuta position ya jinsi ya body staili ili wakati anaicrop kichwa cha Gwajima kikae vizuri maana lazima tumgeuzie kwa huku ili watu waone.
Baada ya kumaliza Bashite aliwaka sana baada ya kuona ule mkono uliokuwa unazuia camera maana umeharibu film Chid aligoma kurudia shooting ndipo Chid aliongozana na Alphonso hadi Magomeni ili akashuhudie jinsi editor akifanya kazi na kuhakikisha sura yake haionekani na kubaki sura ya Gwajima ikumbukwe tukio lilifanyikia Kigamboni.
Software iliyotumika kuchezeshea huo mchezo ni Lightwork na Blender Mac OS maalum kwa ajili ya action movies
Chai hii ..wapi sukari na maandazi
 
Mimi nimeikuta kwa kwinyara Facebook sijui kama ni kwel!
 
Karudie kuiangalia, acha porojo.

Clip ni 100% genuine

  • Thanks
Reactions: R.K
Hiyo ishu ya Chidy na cecy ni propaganda tu kujinusuru kupoteza sadaka za wahumini wakihamua kuhamia kwa Mzee Wa Tanzania Konyagi....Teja acheze movie ya Ngono alafu alipwe 15m,alafu wakati Wa kuchukua video apanic kwa nn wanachukua Sura yake huyo teja au mteja,mateja wanakaa uchi karikoo tena bure sembuse umtangazie mkwanja wote huo?....hii ni uhongo braza....leteni Og yake.....Kesho nakaa kabsaaa kitu cha mbele.
Hahaa jamaa wana jaribu kuhamisha magoli lakini haya hamishiki ---- kama wana taka kweli kufanikiwa kuizima hii scandal basi " wavujishe sex tape ya mkolomije
 
Back
Top Bottom