Gwajima kesho kusuka au kunyoa

Well said bro, tusubiri yajayo maana anaweza kumwaga mboga. Yaani bado akili inagoma kukubali kama ndiye.
 
This is real bad. Kuna mambo ambayo tunatafuta laana na mikosi na shida za dunia ambazo hatuzitaki. Kama kweli video ni usanii, pamoja ya kwamba nilijua tu, kitakachompata aliyeagiza hii filamu na wote waliohusika mimi sijui.


Ni vizuri ukawa "dilemma" usimtete sana bin-adamu mwenzako .Mkuu mwamimini Mungu muumba wa mbingu na nchi
 
Well said bro, tusubiri yajayo maana anaweza kumwaga mboga. Yaani bado akili inagoma kukubali kama ndiye.



Yes ni vizuri tukawa "dilemma" tusimtete wala tusimuamini sana bin-adamu mwenzetu .Mkuu tumwamini Mungu muumba wa mbingu na nchi
Reply
 

Mavi kabisa waambieni wajinga na mambulula wanaowaleteen hela kanisan mnapata za kuhonga
 
Hivi ushahidi unatolewa na TCRA au Bishop Gwajima?
 
kasoro kubwa kwenye hiyo move ni huyo binti kuficha sura,haimake sense gwajima ajirecord akionyesha sura kisha mwanamke ahakikishe sura haionekani
 
Mkuu inawezekana unasema kweli lakini naona kama na wewe unajichanganya na kuzidi kumharibia Gwajiboy. Hiyo clip ya kifua wazi unayodai alijirekodi mwaka 2008 kanisani kwake mbaona inaonesha yuko bed room kabisa, na hata chandarua kinaonekana au huko kanisani huwa wanafunga vyandarua. Navyojua mimi kanisani ni sehemu takatifu iweje askofu aende kujirekodi kanisani kwake kifua wazi?
 
Kwa hiyo baada ya utetezi huu kwamba Bashite was a mastermind , nyie na askofu wenu mmechukua uamuzi upi zaidi ya ule wa kujitetea mitandaoni ?
 
Wala ya kolomoje hautuitaki tunakata hiyo real tape ya wanayodai ni Chidi na Cesy na waionyeshe kesho kanisan tulinganishe na hii editing wanayodai imefanyika.
Kanisani tena??
 
Askofu ni yule mtu aliyesimikwa na kanisa fulani kuongoza watu wa Mungu.
Sasa siajaonaga akisimikwa kajipa jina tu nadhani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…