Kwa kweli hawa watu wangeweza kumtumbua yule Askofu anayeongeaga na familia yake wasingesita ila mamlaka yao haiwaruhusu vinginevyo wangeshamtumbua .
Kwa hiyo Gwajima hatumbuliki na ndio maana bado jumapili ijayo ataendelea kusisitiza suala la vyeti kuhakikiwa Watanzania tujiridhishe na watu wanaolipwa kodi zetu.
Vyeti kwanza mengine baadae