HandsomeBanana
Member
- Mar 20, 2017
- 7
- 1
Kazi ya kula sadaka za wanyonge na kuigeuza kanisa sehemu ya uchochezi?Kazi aliyonayo Gwajima ni zaidi ya raisi, haitaji ubunge
Kazi ya kula sadaka za wanyonge na kuigeuza kanisa sehemu ya uchochezi?Kazi aliyonayo Gwajima ni zaidi ya raisi, haitaji ubunge
Mchungaji peter msigwa mbona ni mbunge wa iringa na wengine kibaoGwajima ameshakueleza kuwa yeye ni zaidi ya Mkuu wa Mkoa, mkuu wa Wilaya, zaidi ya Mbunge, zaidi ya Rais.
KWANI YEYE NI MTUMISHI WA MUNGU AMBAYE ANAONGOZA WAUMINI HAWEZI KUGOMBEA NAFASI YOYOTE YA KISIASA, ATAKUWA DEMOTED.
HIYVO SAHAU KITU HICHO KWA MTUMISHI WA MUNGU.
Tatizo ni kufoji jina na wala sio elimu yake.Ubunge unagombea hata ukiwa na Bashite ya standard 7, f4, f6 au Bashite ya chuo
Hiyo inaitwa disco,Wakuu ivi kunamtu amewahi pata Bashite ya university