Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,834
- 18,836
Dude limeamka tusubiri wavunje tuone kitakachotokea enheee kumekuchaGwajima amesema sheria inaosema kubomolewa kwanyumba zilizo karibu na barabara ina utata mkubwa, na hata Marekani hawana hiyo
Ila amesema atakusanya wahandisi wake na wataenda kupima mita 90 na kukiondoa kisha ataona kama wabomoaji watapeleka pua kuibomoa
Ameendelea kusema Jumapili ijayo wataendelea kusali kama kawaida hata kama wapo ambao hawataingia kwenye kanisa
Baada ya wiki mbili baada ya kubomolewa kanisa hilo Mungu atawachekesha tena
Sasa si ukabome huu ushauri wako uchwara gwajima hayupo huku jfHivi Ngwajima kwa akili zake ndogo hajui kama yuko kwenye eneo la tanesco pale na pia ni ndani ya mita 90 za barabara?
Namshauri asitafute league na serikali kamwe hatoweza kufanikiwa kabisa........yeye si pekee mwenye makanisa yanyo bomolewa...
Hivi Ngwajima kwa akili zake ndogo hajui kama yuko kwenye eneo la tanesco pale na pia ni ndani ya mita 90 za barabara?
Namshauri asitafute league na serikali kamwe hatoweza kufanikiwa kabisa........yeye si pekee mwenye makanisa yanyo bomolewa...
Tayari alifikiri Serikali ni Mh. Makonda.Dude limeamka tusubiri wavunje tuone kitakachotokea enheee kumekucha
Wote zimekutana na yule wa hostel za udsmHuyu bwana akili zake hazimtoshi
Nimecheka eti walikuja na mbio za mwengeWho's Gwajima?? Hawa si ndio waturutumbi waliovamia jiji na kujifanya wa hapa hapa kumbe mtu katoka koromije na mbio za mwenge.
Ni mabati kuukuu...Kanisa lenyewe si la maturubai?,au alisha upgrade?