Gwajima atoa onyo kali juu ya kanisa lake kubomolewa

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,725
18,620
Gwajima amesema sheria inaosema kubomolewa kwanyumba zilizo karibu na barabara ina utata mkubwa, na hata Marekani hawana hiyo

Ila amesema atakusanya wahandisi wake na wataenda kupima mita 90 na kukiondoa kisha ataona kama wabomoaji watapeleka pua kuibomoa

Ameendelea kusema Jumapili ijayo wataendelea kusali kama kawaida hata kama wapo ambao hawataingia kwenye kanisa

Baada ya wiki mbili baada ya kubomolewa kanisa hilo Mungu atawachekesha tena

Hivi Ngwajima kwa akili zake ndogo hajui kama yuko kwenye eneo la tanesco pale na pia ni ndani ya mita 90 za barabara?
Namshauri asitafute league na serikali kamwe hatoweza kufanikiwa kabisa........yeye si pekee mwenye makanisa yanyo bomolewa...
 
Dude limeamka tusubiri wavunje tuone kitakachotokea enheee kumekucha
 
Hivi Ngwajima kwa akili zake ndogo hajui kama yuko kwenye eneo la tanesco pale na pia ni ndani ya mita 90 za barabara?
Namshauri asitafute league na serikali kamwe hatoweza kufanikiwa kabisa........yeye si pekee mwenye makanisa yanyo bomolewa...
Sasa si ukabome huu ushauri wako uchwara gwajima hayupo huku jf
 
Hivi Ngwajima kwa akili zake ndogo hajui kama yuko kwenye eneo la tanesco pale na pia ni ndani ya mita 90 za barabara?
Namshauri asitafute league na serikali kamwe hatoweza kufanikiwa kabisa........yeye si pekee mwenye makanisa yanyo bomolewa...

Hapana kaka, Pale pana Curve inayoelekea away kutoka Kanisa lake, so kuna uwezekano kuwa sehemu ndogo sana ya Kanisa lake ndio kitaondoka
 
Akamuulize mwenzie Kakobe yaliyomkuta!!!!

Aliwaamuru wafuasi wake waombe kwa kugalagala ili umeme tu usipite, but mpaka leo watu wa Mwenge wanaenjoy huduma za TANESCO!

Kumchanganya Mungu na maslahi binafsi ni umazwazwa!
 
Nimemkumbuka Kakobe na nguzo za TANESCO pale kanisani kwake
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom