Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,831
- 18,819
Gwajima amesema sheria inaosema kubomolewa kwanyumba zilizo karibu na barabara ina utata mkubwa, na hata Marekani hawana hiyo
Ila amesema atakusanya wahandisi wake na wataenda kupima mita 90 na kukiondoa kisha ataona kama wabomoaji watapeleka pua kuibomoa
Ameendelea kusema Jumapili ijayo wataendelea kusali kama kawaida hata kama wapo ambao hawataingia kwenye kanisa
Baada ya wiki mbili baada ya kubomolewa kanisa hilo Mungu atawachekesha tena