PreGE2025 Gwajima anamaanisha kweli kupambana na utekaji au anatafuta ushujaa mitandaoni?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

PendoLyimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
1,059
Reaction score
1,133
GWAJIMA ANAMAANISHA KWELI KUPAMBANA NA UTEKAJI AU ANATAFUTA USHUJAA MITANDAONI?

Anaandika Spesho Kabwanga.

Askofu Gwajima kwenye speech yake ametaja Neno RAIS si chini ya mara 42, Neno USALAMA WA TAIFA si chini ya mara 35, POLISI si chini ya mara 18, JESHI LA WANANCHI si chini ya mara 14, MAGEREZA si chini ya mara 13, jina SAMIA si chini ya mara 7 na neno SERIKALI limetajwa mara 2 tu, lakini wote amewaunganisha na UTEKAJI.

Niweke wazi hapa, nampongeza sana Askofu Gwajima kwa kuwa na uthubutu hata wa kutoka kulizungumzia hili, ni wabunge wachache wanaweza kutoka hadharani na kulikemea suala hili. Pengine siku apatikane mtekaji halafu aweke mbele ya familia za watu wote waliotekwa. UTEKAJI HAUFURAHISHI NA WALA SI JAMBO LA KUTETEA.

Nirudi kwa Askofu Gwajima, Kwanza Anamtenganisha Rais, Polisi, Usalama wa Taifa, Jeshi la Wananchi na Magereza amevitenganisha na Serikali. Anatuaminisha hawa wote (Hasa Vyombo) wanafanya kazi kwa maslahi yao binafsi na kwa maslahi ya anayewateua huku wakihofia kupoteza nafasi zao (Anaishutumu Mamlaka ya Uteuzi kuwa na weakness katika kufanya maamuzi ya kutengua) na ndio maana anataka utenguzi upitie kamati ya Bunge ya Ulinzi na Mambo ya nje.

Swali: Gwajima Hana Imani na Tenguzi zinazofanywa na Rais kwamba zimegubikwa na Maslahi binafsi kuliko Utendaji na Maslahi ya nchi?

Swali: Gwajima anaamini utekaji ni Maslahi ya kisiasa kwaajili ya kuwanufaisha wanasiasa wanaowatumia vyombo vya Ulinzi?

Pia soma Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka

Gwajima ametoa ujumbe na anataka ufike, Swali ni kwamba Ufike kwa nani? Hao anaotaka ujumbe Ufike kwao, yeye kwa ubunge wake na mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) hana nafasi ya kukutana nao na kuwaambia? (Yaani gwajima hawezi kukutana na CDF, IGP, CGP au DGIS na hata Rais kwa nafasi yake) na kuwaeleza haya?
Kama amekutana nao (Viongozi wa vyombo) ndio wamemwambia kuwa wanaogopa kufukuzwa?

Askofu Gwajima anafungua mjadala mkubwa wa kitaifa kuhusu Utekaji Vs Vyombo vya Ulinzi na Rais kwa Ujumla, Je Mjadala huu ni bora kuufungulia nje kwa vyombo vya Habari na mitandao, au bora kuufungulia mjadala bungeni ambako wanaweza kubadilisha sheria na miongozo ya anachokitaka (Viongozi kutenguliwa baada ya Bunge kujiririsha) kisha irudi kwenye jamii?

Swali Muhimu sana: Kwanini Gwajima anaibuka leo na Mada za utekaji wakati zilikuwepo tangu akiwa anaingia bungeni? Aliogopa kupoteza ubunge wake siku zote? Kwanini wakati huu ambao Chama chake kinaenda kwenye vikao vya kamati kuu, Halmashauri kuu na mkutano mkuu wa Chama wa mwisho kabla ya kuelekea kwenye uchaguzi? Naamini Askofu Gwajima anaelewa msemo wa right time at the right moment. Sasa Timing yake inalenga kwenye jambo gani?

Narudi hapa kwenye hoja ya muda Bungeni.

Gwajima anasema muda wa kutoa mchango bungeni ni mchachache (Dakika 10-14), Kwenye Press Conference ya Gwajima ameongea dakika 49 kabla ya waandishi kuuliza maswali, akatoa hoja za ushauri tatu.
1. Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wakitaka kutenguliwa basi sababu zikajadiliwe bungeni kupitia kamati ya Bunge ya ulinzi na Mambo ya nje.
2. Vijana wa Vyombo vya ulinzi waongezewe Mishahara (Walipwe vizuri zaidi ya sasa) na
3. Vyombo vya ulinzi viwe na kampuni za kibiashara ili zijiongezee kipato. Hivi hoja hizi angeshindwa kuomba kuwasilisha hoja binafsi Bungeni akapewa muda wa kutosha na wabunge wakalijadili kwa ukubwa suala hili. (Pengine lingepata impact kubwa zaidi na kufikia maamuzi ya kitaifa.

Kwenye Muongozo kuhusu Hoja binafsi Bungeni Kipengele cha 1.2 (d) kinasema Mbunge mwingine yeyote anaweza kutoa hoja zifuatazo. (i) Hoja ya kuahirisha shughuli za bunge zinazoendelea ili kujadili jambo la dharura na kipengele cha (iii) hoja binafsi kuhusu jambo lolote ambayo itatolewa kwa kuzingatia masharti ya kanuni za kudumu za Bunge. Hapa Gwajima alishindwa kuomba hoja Binafsi?

Kipengele 1.3 inasema Hoja binafsi ya mbunge asiyekuwa Waziri au mwanasheria mkuu wa serikali anayoitoa ili ijadiliwe na kuamuliwa na bunge, baada ya hoja husika kujadiliwa, kuamuliwa na kuafikiwa Inakuwa azimio la Bunge. Sasa hapa kama kweli Gwajima anataka hili jambo liishe haoni kwamba Mjadala wa utenguzi wa viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama ungeweza kuwa ni azimio la bunge? (Kumbuka bunge likishaazimia linatoa maagizo kuitaka serikali kushuhulikia jambo hilo kama ilivyoamuliwa na bunge) Kipengele cha 1.4. Kwenye hitimisho la muongozo huu wa hoja binafsi kwa mbunge inaeleza wazi kuwa hii ni njia ya mbunge kuisimamia serikali kwa niaba ya wananchi ili iwajibike kutatua kero zao. WAZO LA GWAJIMA NI ZURI LAKINI LINAHITAJI KUFUATA NJIA SAHIHI ZA UTEKELEZAJI WAKE.

Gwajima anazungumza muda bungeni hautoshi, Nataka kumkumbusha wakati jana akitumia dakika 49, Miezi 11 nyuma Halima Mdee, Mbunge wa viti maalumu alitoa hoja bungeni aliyelitaka Bunge lijadili utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara kwa EPC+F kwenye bajeti ya wizara ya ujenzi ya mwaka 2024/25, Hoja ile ilijadiliwa dakika 47. Inamaana Askofu Gwajima alishindwa kulijua hili kwa maana ya muda?

Askofu Gwajima anasema “HAUWEZI KUTUKANA SERIKALI ADHABU YAKE IKAWA KUPOTEA” kwahiyo anaamini serikali ndio inapoteza watu? Anaweza kuthibitisha? Ana Ushahidi wa kimazingira au ana Ushahidi uliojitosheleza kuwa walioitukana serikali ndio walipotea? Azori Gwanda aliitukana Serikali? Bashe aliwahi kulalamika bungeni alitaka kutekwa, Aliitukana serikali?

Askofu Gwajima ana uhakika mkuu wa Chombo cha Ulinzi na usalama akishauri mawazo tofauti hata kama ni kwa maslahi ya kulinda nchi anafukuzwa? Je walioondolewa kwenye nafasi zao ni kwasababu tu ya Kushauri tofauti au kukataa vitu kwa Rais? Haya ni mambo ambayo Gwajima hajanyooka. Nafikiri kwenye taarifa yake angekuja na mifano hai yakuwa huyu aliondolewa kwenye nafasi kwasababu alishauri jambo hili ambalo Mamlaka ya Uteuzi ilikataa au ilikuwa hailitaki.

Ya Mwisho.

HOJA ZA HWAJIMA ZINAHITAJI MAJIBU.

Pamoja na mambo yote, viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wanatakiwa kutoka na kujibu hoja za Gwajima.

1. Ni kweli wana taarifa za UTEKAJI na Nani (au kikundi gani kinatekeleza hayo) kwa intelijensia yao?

2. Ni kweli wanafanya kazi kwa matakwa ya Mamlaka ya Uteuzi na sio miongozo yao?

3. Ni kweli wanaogopa kuja na mawazo ya kutetea maslahi ya nchi kwasababu wanaogopa kufukuzwa kazi? Na ni kweli huwa wanafukuzwa wakitoa maoni tofauti?

4. Ni kweli ili hawafanyi kazi yao ipasavyo kwasababu mishahara midogo? Mashirika Yao ya uzalishaji Mali hawapati tenda za serikali?

5. Bunge haliwezi kujadili hoja binafsi ya wakuu wa vyombo kutenguliwa mpaka bunge lipitishe?

Kukaa kimya si jambo jema. Mamlaka zilizotajwa zitoke kujibu.
 
Watakuwa wametumana tuu ili kupima kina cha maji.
 
kwani wanaoteka watu wapo mtandaoni.
 
Wenye visemeo wameshindwa kusema acha wanaojitolea wawasemee,wajisemee wamsemee mtanzani.
 
Rubbish, video clip za Gwajima zipo mtandaoni, huu uandishi wenu njaa peleka kwa Msigwa ukachukuwe bahasha yako stupid kabisa.
 
Gwajima anataka tumuone ni tofauti na wenzake ccm, bila kuvua gamba.

Na watu wengi wameingia mtegoni kumuona shujaa.

Fisi aliyeshiba kwa kumla mtoto wa mwenzio akamuacha mwanao siyo msamalia mwema, huyo mwanao kamuweka akiba tu, njaa ikimuuma atamrudia.

Kama anachukizwa na uovu wa ccm ajivue gamba ajiunge na wananchi tulie pamoja.

Lakini anachofanya kwa sasa anatuchungulia na kurudi kule kule, anatupima akili.
 
Nimekudharau sana
Haitoshi kudharau takataka kama hizi ni za kutengwa na jamii.

Hizi kenge ndio zimeifikisha nchi hapa ilipo kwa kutumia karamu kupotosha.

Ndio hizi takataka.
downloadfile.jpg
 
Gwajima anataka tumuone ni tofauti na wenzake ccm, bila kuvua gamba.

Na watu wengi wameingia mtegoni kumuona shujaa. Fisi aliyeshiba kwa kumla mtoto wa mwenzio akamuacha mwanao siyo msamalia mwema, huyo mwanao kamuweka akiba ti, njaa ikimuuma atamrudia.

Kama anachukizwa na uovu wa ccm ajivue gamba ajiunge na wananchi tulie pamoja.

Lakini anachofanya kwa sasa anatuchungulia na kurudi kule kule, anatupima akili.
Unaweza kuwa ccm na ukawa mzalendo na mtu safi, na unaweza kuwa Chadema ukawa kibaka tu kama Mrema na wenzake.

Kwenye vita vya haki katika Taifa hatutahesabiana kwa vyama bali malengo ndio yatatuunganisha, kina Butiku na Warioba ni Ccm lakini tuna malengo nao sawa huwezi kuwabaguwa kwakuwa wao ni ccm.

Kichwa kichokuwa na akili ni mzigo kwa shingo ni kama unakuwa na kichwa kwa ajili ya kufugia meno tu.
 
GWAJIMA ANAMAANISHA KWELI KUPAMBANA NA UTEKAJI AU ANATAFUTA USHUJAA MITANDAONI?

Anaandika Spesho Kabwanga.

Askofu Gwajima kwenye speech yake ametaja Neno RAIS si chini ya mara 42, Neno USALAMA WA TAIFA si chini ya mara 35, POLISI si chini ya mara 18, JESHI LA WANANCHI si chini ya mara 14, MAGEREZA si chini ya mara 13, jina SAMIA si chini ya mara 7 na neno SERIKALI limetajwa mara 2 tu, lakini wote amewaunganisha na UTEKAJI.

Niweke wazi hapa, nampongeza sana Askofu Gwajima kwa kuwa na uthubutu hata wa kutoka kulizungumzia hili, ni wabunge wachache wanaweza kutoka hadharani na kulikemea suala hili. Pengine siku apatikane mtekaji halafu aweke mbele ya familia za watu wote waliotekwa. UTEKAJI HAUFURAHISHI NA WALA SI JAMBO LA KUTETEA.

Nirudi kwa Askofu Gwajima, Kwanza Anamtenganisha Rais, Polisi, Usalama wa Taifa, Jeshi la Wananchi na Magereza amevitenganisha na Serikali. Anatuaminisha hawa wote (Hasa Vyombo) wanafanya kazi kwa maslahi yao binafsi na kwa maslahi ya anayewateua huku wakihofia kupoteza nafasi zao (Anaishutumu Mamlaka ya Uteuzi kuwa na weakness katika kufanya maamuzi ya kutengua) na ndio maana anataka utenguzi upitie kamati ya Bunge ya Ulinzi na Mambo ya nje.

Swali: Gwajima Hana Imani na Tenguzi zinazofanywa na Rais kwamba zimegubikwa na Maslahi binafsi kuliko Utendaji na Maslahi ya nchi?

Swali: Gwajima anaamini utekaji ni Maslahi ya kisiasa kwaajili ya kuwanufaisha wanasiasa wanaowatumia vyombo vya Ulinzi?

Gwajima ametoa ujumbe na anataka ufike, Swali ni kwamba Ufike kwa nani? Hao anaotaka ujumbe Ufike kwao, yeye kwa ubunge wake na mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) hana nafasi ya kukutana nao na kuwaambia? (Yaani gwajima hawezi kukutana na CDF, IGP, CGP au DGIS na hata Rais kwa nafasi yake) na kuwaeleza haya?
Kama amekutana nao (Viongozi wa vyombo) ndio wamemwambia kuwa wanaogopa kufukuzwa?

Askofu Gwajima anafungua mjadala mkubwa wa kitaifa kuhusu Utekaji Vs Vyombo vya Ulinzi na Rais kwa Ujumla, Je Mjadala huu ni bora kuufungulia nje kwa vyombo vya Habari na mitandao, au bora kuufungulia mjadala bungeni ambako wanaweza kubadilisha sheria na miongozo ya anachokitaka (Viongozi kutenguliwa baada ya Bunge kujiririsha) kisha irudi kwenye jamii?

Swali Muhimu sana: Kwanini Gwajima anaibuka leo na Mada za utekaji wakati zilikuwepo tangu akiwa anaingia bungeni? Aliogopa kupoteza ubunge wake siku zote? Kwanini wakati huu ambao Chama chake kinaenda kwenye vikao vya kamati kuu, Halmashauri kuu na mkutano mkuu wa Chama wa mwisho kabla ya kuelekea kwenye uchaguzi? Naamini Askofu Gwajima anaelewa msemo wa right time at the right moment. Sasa Timing yake inalenga kwenye jambo gani?

Narudi hapa kwenye hoja ya muda Bungeni.

Gwajima anasema muda wa kutoa mchango bungeni ni mchachache (Dakika 10-14), Kwenye Press Conference ya Gwajima ameongea dakika 49 kabla ya waandishi kuuliza maswali, akatoa hoja za ushauri tatu.
1. Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wakitaka kutenguliwa basi sababu zikajadiliwe bungeni kupitia kamati ya Bunge ya ulinzi na Mambo ya nje.
2. Vijana wa Vyombo vya ulinzi waongezewe Mishahara (Walipwe vizuri zaidi ya sasa) na
3. Vyombo vya ulinzi viwe na kampuni za kibiashara ili zijiongezee kipato. Hivi hoja hizi angeshindwa kuomba kuwasilisha hoja binafsi Bungeni akapewa muda wa kutosha na wabunge wakalijadili kwa ukubwa suala hili. (Pengine lingepata impact kubwa zaidi na kufikia maamuzi ya kitaifa.

Kwenye Muongozo kuhusu Hoja binafsi Bungeni Kipengele cha 1.2 (d) kinasema Mbunge mwingine yeyote anaweza kutoa hoja zifuatazo. (i) Hoja ya kuahirisha shughuli za bunge zinazoendelea ili kujadili jambo la dharura na kipengele cha (iii) hoja binafsi kuhusu jambo lolote ambayo itatolewa kwa kuzingatia masharti ya kanuni za kudumu za Bunge. Hapa Gwajima alishindwa kuomba hoja Binafsi?

Kipengele 1.3 inasema Hoja binafsi ya mbunge asiyekuwa Waziri au mwanasheria mkuu wa serikali anayoitoa ili ijadiliwe na kuamuliwa na bunge, baada ya hoja husika kujadiliwa, kuamuliwa na kuafikiwa Inakuwa azimio la Bunge. Sasa hapa kama kweli Gwajima anataka hili jambo liishe haoni kwamba Mjadala wa utenguzi wa viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama ungeweza kuwa ni azimio la bunge? (Kumbuka bunge likishaazimia linatoa maagizo kuitaka serikali kushuhulikia jambo hilo kama ilivyoamuliwa na bunge) Kipengele cha 1.4. Kwenye hitimisho la muongozo huu wa hoja binafsi kwa mbunge inaeleza wazi kuwa hii ni njia ya mbunge kuisimamia serikali kwa niaba ya wananchi ili iwajibike kutatua kero zao. WAZO LA GWAJIMA NI ZURI LAKINI LINAHITAJI KUFUATA NJIA SAHIHI ZA UTEKELEZAJI WAKE.

Gwajima anazungumza muda bungeni hautoshi, Nataka kumkumbusha wakati jana akitumia dakika 49, Miezi 11 nyuma Halima Mdee, Mbunge wa viti maalumu alitoa hoja bungeni aliyelitaka Bunge lijadili utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara kwa EPC+F kwenye bajeti ya wizara ya ujenzi ya mwaka 2024/25, Hoja ile ilijadiliwa dakika 47. Inamaana Askofu Gwajima alishindwa kulijua hili kwa maana ya muda?

Askofu Gwajima anasema “HAUWEZI KUTUKANA SERIKALI ADHABU YAKE IKAWA KUPOTEA” kwahiyo anaamini serikali ndio inapoteza watu? Anaweza kuthibitisha? Ana Ushahidi wa kimazingira au ana Ushahidi uliojitosheleza kuwa walioitukana serikali ndio walipotea? Azori Gwanda aliitukana Serikali? Bashe aliwahi kulalamika bungeni alitaka kutekwa, Aliitukana serikali?

Askofu Gwajima ana uhakika mkuu wa Chombo cha Ulinzi na usalama akishauri mawazo tofauti hata kama ni kwa maslahi ya kulinda nchi anafukuzwa? Je walioondolewa kwenye nafasi zao ni kwasababu tu ya Kushauri tofauti au kukataa vitu kwa Rais? Haya ni mambo ambayo Gwajima hajanyooka. Nafikiri kwenye taarifa yake angekuja na mifano hai yakuwa huyu aliondolewa kwenye nafasi kwasababu alishauri jambo hili ambalo Mamlaka ya Uteuzi ilikataa au ilikuwa hailitaki.

Swali Muhimu sana: Kwanini Gwajima anaibuka leo na Mada za utekaji wakati zilikuwepo tangu akiwa anaingia bungeni? Aliogopa kupoteza ubunge wake siku zote? Kwanini wakati huu ambao Chama chake kinaenda kwenye vikao vya kamati kuu, Halmashauri kuu na mkutano mkuu wa Chama wa mwisho kabla ya kuelekea kwenye uchaguzi? Naamini Askofu Gwajima anaelewa msemo wa right time at the right moment. Sasa Timing yake inalenga kwenye jambo gani?

Ya Mwisho.

HOJA ZA HWAJIMA ZINAHITAJI MAJIBU.

Pamoja na mambo yote, viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wanatakiwa kutoka na kujibu hoja za Gwajima.

1. Ni kweli wana taarifa za UTEKAJI na Nani (au kikundi gani kinatekeleza hayo) kwa intelijensia yao?

2. Ni kweli wanafanya kazi kwa matakwa ya Mamlaka ya Uteuzi na sio miongozo yao?

3. Ni kweli wanaogopa kuja na mawazo ya kutetea maslahi ya nchi kwasababu wanaogopa kufukuzwa kazi? Na ni kweli huwa wanafukuzwa wakitoa maoni tofauti?

4. Ni kweli ili hawafanyi kazi yao ipasavyo kwasababu mishahara midogo? Mashirika Yao ya uzalishaji Mali hawapati tenda za serikali?

5. Bunge haliwezi kujadili hoja binafsi ya wakuu wa vyombo kutenguliwa mpaka bunge lipitishe?

Kukaa kimya si jambo jema. Mamlaka zilizotajwa zitoke kujibu.
Chawa unatapatapa..
 
Watoke waliko wawe wananchi tulie pamoja, wanatupa wakati mgumu kuanza kuchambua mchele safi kwenye lundo la Pumba.

CCM ni genge la fisi, fisi aliyeshiba akaupita mzoga hawi fisi mstaarabu, shibe ya muda inamfanya tumuone kastaarabika njaa ikiuma anaurudia huo mzoga alioupita.

Wajitenge wawe watu safi.
 
Anatafuta ushujaa? Kwenye mambo ya kuumiza kama haya asubiri bunge litakapoketi.Watakuwa wamepotezwa wangapi? Hata akileta hoja bungeni zitasikizwa ipasapo bila kuingiliwa na miongozo? Utaratibu?.Nani asiyejua machawa wa chama na serkali kuingilia hoja za msingi kwa kutumia miongozo yabungeni.Mimi naomba tuache itikadi za vyama nyuma na kujadili hali ya kiasa nchini.Mpaka hapa hakuna mshindi bila kujisahihisha kabla ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom