Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 21,997
- 50,151
Nchimbi na polepole ndugai na Tulia wakati bado wanakula posho ungewaambia neno MTAKOMA lina uzito wasingekuelewa ilihali wanakula viyoyozi vya ofisiMtakoma
Nchimbi na polepole ndugai na Tulia wakati bado wanakula posho ungewaambia neno MTAKOMA lina uzito wasingekuelewa ilihali wanakula viyoyozi vya ofisiMtakoma
Masikitiko makubwaSisi ni arm chair generals
Umejibu swali au unauliza swali? ShubamitiKuyajua ni hadi kwanza uwe nayo
Kuna ntu yupo nao kikazi hutoelewa ila ipo siku utanielewaWamekujuaje au hutumii ID fake??