Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,878
- 12,440
nchi inaongozwa na mapepo/majiniKwani yeye Max hajui? Mbona alisha sema wazi kuwa alitishwa na kuambiwa atafanywa vibaya, na wala hakutakua na kelele na kusahaulika kabisa.
Kila mtu ajishikilie, Tuko sehemu mbaya, na davoo yuko speed 150 kibatiiiiii.
π’π’ππ
Upo sahihi mkuu kazi ipo tena sio kidogo! Baba ameamua kuuza nyumba kwa hawara watoto waseme nini?!Ni ngori wakuu juu tumekuwa cornered Kila upande. Kitu mutu afanye file inafaa.
Kwani mkuu, wewe ni mwanasiasa pinzani?KAnisani wanakaa namimi ukitaka kuwajua wanavaa suti nyeusi wanasilaa naishi hivyoo siku mingi
Lisemwalo lipo. Maxence Melo take good care of yourself and your JF members. God bless JF, God bless Melo.Aise Mimi nimeamua kutecare my self mapema sanaaaa
Hali si Hali wakuu tupo hatarini kitekwa,kufirwa na kuuwawa zaidi tupo hatarini kuliko mjuavyo na tumetegwa kila PAHALA mpaka tunaponyea tumetegegwa, unaweza ingia chohooni ukamezwa na chooo take care
Max Mello take care Broo your in danger.
Hatari mno!Upo sahihi mkuu kazi ipo tena sio kidogo! Baba ameamua kuuza nyumba kwa hawara watoto waseme nini?!
Mimi naona amejibu katika kiwango cha uzi wenyewe, uangalie tu kuanzia heading yake ah!..ah...Utekwe wewe una nini hasa! Au wajipendekeza tu kwa watekaji?
Hamna hata mie ni mtu wakawaida sana na sinaga noma na mtu hata mwaka jana siku andamanaKwani mkuu, wewe ni mwanasiasa pinzani?
Sijawahi kukuona umeleweshwa na bangi kama ilivyotokea leo.Max Mello take care Broo your in danger.
Mungu Mwema Kila wakati!Kwani yeye Max hajui? Mbona alisha sema wazi kuwa alitishwa na kuambiwa atafanywa vibaya, na wala hakutakua na kelele na kusahaulika kabisa.
Kila mtu ajishikilie, Tuko sehemu mbaya, na davoo yuko speed 150 kibatiiiiii.
π’π’ππ
nchi inaongozwa na mapepo/majini
Mungu Mwema Kila wakati!
Sidhani kama hali iko hivyo.Aise Mimi nimeamua kutecare my self mapema sanaaaa
Hali si Hali wakuu tupo hatarini kitekwa,kufirwa na kuuwawa zaidi tupo hatarini kuliko mjuavyo na tumetegwa kila PAHALA mpaka tunaponyea tumetegegwa, unaweza ingia chohooni ukamezwa na chooo take care
Max Mello take care Broo your in danger.
Kwamba inafanya kazi kumpata watu wenye ID fakeSidhani kama hali iko hivyo.
Cha msingi ni kwa walo nje uendapo TZ uwe clean.
Kama una social media accounts tofautisha kati ya binafsi na harakati.
Pia tukumbuke kwamba sasa hivi kuna advanced technology imekuwa applied huko tisiaraei na hiyo ni habari ya uhakika kabisa.
Juzijuzi nilipata nafasi ya kuhudhuria maonyesho ya teknolojia mbalimbali za usalama na khasa kwenye sekta ya mawasiliano na cybersecurity na nchi nyingi sasa hivi zashindana kupata wateja.
Uturuki, China, Russia na nchi zingine zimekuja juu sana, hivyo tahadhali ni muhimu khasa kwenye sekta ya mawasiliano.
Ni hayo tu.
Wamekujuaje au hutumii ID fake??Mimi mwenzako nimerekodiwa na serikali y amama samia hadi sasa wanajua namba zangu za simu zote, wanajua my daily routine hata nikijamba na kwa sasa wanajua hadi nimekunya mara ngapi sasa hakuna jipya Sifi Leo kwanza wewe ni mpelelezi kwendraa
Sisi ni arm chair generalsSijaelewa hapa badala ya serikali ya Samia kupambana na UJINGA UMASKINI NA MARADHI
Eti ijke ipambane na sisi key board worrior
Saifi Leo, koleo la chuma, ndama jeuri, NALIA GWENA. E, .t.c basi hatuna serikali zaidi ya serikali MUFU