Aise Mimi nimeamua kutecare my self mapema sanaaaa
Hali si Hali wakuu tupo hatarini kitekwa,kufirwa na kuuwawa zaidi tupo hatarini kuliko mjuavyo na tumetegwa kila PAHALA mpaka tunaponyea tumetegegwa, unaweza ingia chohooni ukamezwa na chooo take care
Max Mello take care Broo your in danger.
Sijaelewa hapa badala ya serikali ya Samia kupambana na UJINGA UMASKINI NA MARADHIKwani yeye Max hajui? Mbona alisha sema wazi kuwa alitishwa na kuambiwa atafanywa vibaya, na wala hakutakua na kelele na kusahaulika kabisa.
Kila mtu ajishikilie, Tuko sehemu mbaya, na davoo yuko speed 150 kibatiiiiii.
π’π’ππ
Sijaelewa hapa badala ya serikali ya Samia kupambana na UJINGA UMASKINI NA MARADHI
Eti ijke ipambane na sisi key board worrior
Saifi Leo, koleo la chuma, ndama jeuri, NALIA GWENA. E, .t.c basi hatuna serikali zaidi ya serikali MUFU