NgomaNzito
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 559
- 26
HONGERA MAMA!Jamani Mola kanijalia mtoto wa kiume anafanana na baba yake na babu yake sijui kama tabia zitafanana na baba yake na babu yake, pia nimempa jina la babu yake sijui atakuwa na tabia za babu yake kilaji na totos kwa sana
Asanteni wale wote mtakaonipa pongezi
hongera mama kwa kupata mtoto, maana Tanzania viwango vya vifo vitokanavyo na uzazi viko juu mno, hongera kwa kupenya tundu la kifo Mungu nakupe amani.Hongera bibie kwa kupata mtoto.
jamani mola kanijalia mtoto wa kiume anafanana na baba yake na babu yake sijui kama tabia zitafanana na baba yake na babu yake, pia nimempa jina la babu yake sijui atakuwa na tabia za babu yake kilaji na totos kwa sana
asanteni wale wote mtakaonipa pongezi
Mkuu ya wapi tena hii?Congrats mkubwa, kumbuka kulea mtoto sio kazi, kazi ni kulea mwana. Na mtoto umleavyo ndivyo akuavyo!!
Nilifikiri wewe ni mwanaume!!! Du au ndiyo wewe ni mwanaume unajificha kwa staili hiyo? Ni haki yako mkuu kujinafasi utakavyo. Vinginevyo, hongera sana.
hahaaaa huyo ndo ngomanzito mamen!!!! the more u try to understand him/her the more complicated he/she becomes!!!
hongera....mara thread za mkewe kaweka pedi ndani wiki mbili, mara yeye ni she sijui kawa bitreidi yak!!!
na we Goeff wapi huku unataka kuwaoza hao akina shangazi sasa!!!
Hongera sana. Asante ne wewe kwa kutupa asanteAsanteni wale wote mtakaonipa pongezi
haaah madame una kumbukumbu nilikuwa nimemsahau kumbe ni yule mwenzetu
Ngoma nzito location yako wapi nilete zawadi za mtoto
haaah madame una kumbukumbu nilikuwa nimemsahau kumbe ni yule mwenzetu
Ngoma nzito location yako wapi nilete zawadi za mtoto
KWANZA Hongera SANA.
kUNA JAMBO MOJA NATAKA UJUE TANGU SASA...
Kama babu zake walikuwa na tabia zisizo nzuri, basi kwa imani yako vunja laana za mababu ili zisimfuate mtoto.
Mwombee mtoto awe na tabia njema na hekima, achana kufuatiliza mambo ya kale ya mabibi na mababu, hayatamsaidia lolote mtoto zaidi ya kumlemaza!
Tunavyoamini kisayansi ni kwamba mtoto anazaliw akiwa empty kichwani, na anaanza ku'store kile utakachomfunza wewe...sasa ni wewe against him...mlee awe unavyotaka, BASI!
FL1
Asante kwa zawadi Mola akujalie mie mwenzenu tu
Loc nipo Tumbi unaweza fika kwa babu atakuonyesha njia
Thanks all