Me nimekuelewa, hizo dini za walokole wale haswa wanakua wamejicommit kweli na mda wao mwingi ni mambo ya dini
Huyo hutamweza kwa kweli mana we unataka yule wa dini ya jpili tu baada ya hapo ni mtoko tu na kunywa
Apo ukute ameshaanza kukukataza uache pombe.
Btw huyo ndo yule doctor au umeopoa mwingine tena