and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,104
Guys msifanye mchezo guys. Mimi ni mtoto wa maskini guys. Nimechunga ng'ombe guys.
ulivyoleta mada kama kajike
Hiyo ni press ya waziri mkuu jana alikua anatumia guys kwenye kila sentensi.Kaza mkuu, punguza mideko mjini kuna abdul
Exactly 💯 we muache tu atapewa muogo wa jang'ombeKaza mkuu, punguza mideko mjini kuna abdul
Hawakumsikiliza. 🤣🤣🤣Hiyo ni press ya waziri mkuu jana alikua anatumia guys kwenye kila sentensi.
Kesho atasema Neema sio mke wangu guysMke wangu anaitwa Neema sio Ester guys.