Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Japo mi sio boy nimeangalia loh
Japo mi sio boy nimeangalia loh
Salama lakini? Yule ifwerro alinifanya nikapingwa pingu dada yangu langu tuko poa nitarudi hewani son
swissme:
yani kidole changu cha shahada ndo kifupi kuliko vyote.. i'm real ++++
Utarudi hewani wapi tena wakat upo hewani?
We mlemavu....kifupi kuliko cha mwisho na dole gumba???
hahah nimelipuka kwa furaha baada ya kuona ring finger ni ndefu kuliko cha shahada nikajikuta nimeandika hivyo.. lol
Hiyo kali miss neddy
Am real macho men
Sasa angalia your toes
View attachment 214052