Gustav Pius Mbwasi ni nani?

Gustav Pius Mbwasi ni nani?

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,394
Reaction score
17,769
Nilitembelea wilaya ya Ulanga, nikafika tarafa ya Malinyi kata ya Igawa, kijiji cha Kiwale kitongoji cha Mkomange nikakuta kuna mtu alikuwa anawekeza kwenye kutoa huduma za tiba yaani hospitali. Huyu nimefahamishwa anaitwa Gustav Pius Mbwasi.

Pale kitongojini kuna majengo mengi yaliyogeuka kuwa makazi ya popo, yaliyokuwa tayari kwa ajili ya shughuli za hospitali. Naambiwa huyu bwana aliletewa zengwe na serekali na kumnyima kibali cha kufungua hospitali hiyo.

Kwanini serekali ilimzuia kufungua mradi huu uliokuwa na manufaa kwa wananchi?
 
Jee, Ninani alikuwa anamzamini huyu bwana katika huu mradi(Nchi)? Je hizo fedha ni za kwake? au yeye ni middle man?
 
Sirikali na politricks ni vitu vya hovyo mno vikitumika vibaya.. unakumbuka habari za yule bingwa wa magonjwa ya moyo Tanzania? RIP na taasisi yake ya THI? Hiyo ndo politik
 
Ni mmoja wa wanafamilia ya Mzee Mbwasi ambaye alishawahi kushika madaraka katika ccm kwa muda mrefu kama sikosei ni ya ukatibu wa wilaya.....jamaa alihisiwa anataka kuchukua ubunge wa watu.........alipigwa zengwe kinoma.....alishawahi kuombwa ashiriki kampeni za ccm kwenye ubunge akagoma...akipigwa zengwe la kutolipa kodi kupitia tra.....akajisalimisha mwenyewe kumkapenia Ngaswongwa.............kama ni kweli alipigwa zengwe asifungue hospitali sina uhakika juu ya hilo......... kama ni zengwe litakuwa ni waliopata kuwa wabunge wa pande hizo ambao walimwona tishio kwa nafasi zao maana wananchi walikuwa wanamkubali sana.....
 
Hayo majengo aliyojenga bado hayatumika mpaka sasa
 
Back
Top Bottom