Gunshot effects kwa kutumia Adobe After effects

deejaywillzz

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
637
Reaction score
224
Habari zenu wakuu, nilikuwa naomba msaada kidogo kutoka kwenu. Nataka kutengeneza video shoot kwa ajili ya ku experiment gunshot muzzles nilizokuwa nazo za Adobe After Effects.

Kama kuna mtu ameshawahi kujirecord na simu au video camera yoyote akiwa anapoint a gun au hata ana act kama ana point a gun naomba nitumie: deejaywillzz@gmail.com nitaleta marejesho kwenye ukumbi kuhusu experiment yangu.

Asanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…