Hawa watu wana matatizo, so sad!.
Hawa watunga sheria wasiotaka kuzuia uuzaji wa silaha, na kuifutilia mbali hiyo second ammendment.Watu gani? Maana mpaka hivi sasa mshukiwa ni mmoja tu.
Hawa watunga sheria wasiotaka kuzuia uuzaji wa silaha, na kuifutilia mbali hiyo second ammendment.
Inaweza kusaidia kupunguza tatizo.Unadhani hiyo itakuwa ufumbuzi?
Inaweza kusaidia kupunguza tatizo.
hivi hawa wamarekani wana matatizo gani?? mbona wanakuwa kama vichaa!??
Ha ha ha...wewe lazima utakuwa ni member wa NRA!.Mimi sina hakika.
Ila napenda tu kuwa angalau hiyo amendment inampa mtu fursa naye ya kumiliki chamoto kwa ajili ya kujilinda. Imagine unaingiliwa kwako na vibaka halafu wao wana vyamoto wewe huna. You are toast.
wanakuwa kama ama ni?. Hawa wa kwetu wanaokota tuu makopo, wa kule wanachezea vya moto. Subirini taarifa zaidi zitathibitisha its a mental case!.
Ha ha ha...wewe lazima utakuwa ni member wa NRA!.