Mzalamo namimi nakuuliza ni debe la lita ngapi? Mimi nafahamu debe moja la mpunga hutoa kilo 14 hadi 15 kutegemea na aina ya mpunga! Kwi kwi kwiii twende mashineni mkuu wangu tukaujue ukweli!
Hii sasa ni kali, tuache kutaja tu 'gunia' tuseme gunia lenye kilo kadhaa au lenye debe kadhaa hapo tutaongea lugha moja, mimi niliko mpunga gunia ni debe 7 na mahindi ukisema gunia unamaanisha debe sita!