Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jul 22, 2014 Thread starter #21 Dennis Fussi said: Michuano yote ya kombe la Dunia inafanyika miaka inayogawika kwa mbili. Ishu hapo ni miaka yenye 4 mbele iliyokuwa na neema kwao, kasoro mwaka 1990 tu Click to expand... umegundua vyema
Dennis Fussi said: Michuano yote ya kombe la Dunia inafanyika miaka inayogawika kwa mbili. Ishu hapo ni miaka yenye 4 mbele iliyokuwa na neema kwao, kasoro mwaka 1990 tu Click to expand... umegundua vyema
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jul 22, 2014 Thread starter #22 BONGOLALA said: Kila baada ya miaka 20 wanachukua kombe la dunia Click to expand... hapa ubongo wangu nao ulilala
BONGOLALA said: Kila baada ya miaka 20 wanachukua kombe la dunia Click to expand... hapa ubongo wangu nao ulilala
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jul 22, 2014 Thread starter #23 huu nao ni ugnunduzi wa kina OBWERE said: 1954 1974 1990 2014 BAADA YA MIAKA 20 WALITWAA KOMBE,TENA IKAPITA MIAKA 16 WAKTWAA,JUZI IMETOKEA BAADA YA MIAKA 14.KWA MANTIKI HIYO BAADA YA MIAKA 12 IJAYO YAAN 2026 WATAKUWA MABINGWA TENA WA DUNIA :llama: Click to expand...
huu nao ni ugnunduzi wa kina OBWERE said: 1954 1974 1990 2014 BAADA YA MIAKA 20 WALITWAA KOMBE,TENA IKAPITA MIAKA 16 WAKTWAA,JUZI IMETOKEA BAADA YA MIAKA 14.KWA MANTIKI HIYO BAADA YA MIAKA 12 IJAYO YAAN 2026 WATAKUWA MABINGWA TENA WA DUNIA :llama: Click to expand...
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,859 Reaction score 123,926 Jul 22, 2014 #24 Nimegundua kuwa hilo basi lina nyota tatu na ya nne ni Nembo ya gari aina ya Marcedes benz ambayo pia imekaa kama Nyota!
Nimegundua kuwa hilo basi lina nyota tatu na ya nne ni Nembo ya gari aina ya Marcedes benz ambayo pia imekaa kama Nyota!
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,841 Jul 22, 2014 #25 Ifikapo 2026 watakuwa tena mabingwa wa dunia
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,506 Reaction score 7,445 Jul 22, 2014 #26 Inapendeza Ati