Ni imani ya kikale isiyo na ithibati kisayansi kuwa
usiku wa kwenda vitani usilale na mwanamke
Siku ya kwenda kuwinda kurina au kuvua usilale na mwanamke
Kwamba kuna wanawake mlango wa 8 ukimuoa kila kitu kinapukutika
Kwamba ukipata balaa lolote unaulizwa kwani jana ulilala nanani ?
Kwamba mashetani majini na mizimu hupendelea kuweka makazi yao milini mwa wanawake hivyo kuwafanya wawe na nuksi au gundu
Nikitafakari haya yote na mengine pia naona mwanamke anabebeshwa mizigo mingi na mizito asiyostahili kubeba
Kweli wanaonewa sana kwa hili
Kama mlienda kucheza mpira mkifungwa, kelele zinaanza kuna wengine walilala na wanawake wenye gundu ndio maana tumepoteza
Biashara zisipotoka na mengine mengi
Hapa nakubaliana na mkuu mleta mada
Kula tunda la mti wa kati ambapo hawa/eva alimshawishi adamu kama niko sawaumewahi kujiuliza kuwa kwann wanawake ndio wanakumbwa na ugonjwa wa mashetan?? Na jaribu kufuatilia chanzo cha dhambi ya Adam na Hawa/Eva
Hata iwe hakuna aliye lala na mwanamke mkifungwa mara nyingi lawama zinakua hizoukilala na mwanamke utatumia nguvu ...kwa hiyo hutoweza kufanya kazi ngumu vzuri kama ni kucheza mpira,kuwinda,kulima,vitani n.k
nadhan ndo maana wazee wakaamua kusema ni gundu ili kuepusha vijana.
Hata iwe hakuna aliye lala na mwanamke mkifungwa mara nyingi lawama zinakua hizo
Lawama zinaelekezwa kwa wanawake kumbe kiukweli hakuna hata mmoja aliyelala na mwanamke usiku wa kuamkia siku ya mechi
Nakupa mfano haiha ha ha wapo wanaochepuka fasta..
kwanini lawama kwa mwanamke...
Maskini wanawake.....!maskini wanangu....!Nakupa mfano hai
Kuna siku tulienda kupiga gemu mkoa tumelala kambini hakuna mazingira ya kutoka wala ke yoyote karibu na maeneo
Tulipopiga gemu jioni tulifungwa
Basi wee lawama zikaanza wengine wana magundu yao hata wakikaa wiki ngapi hayatoki
Tatizo mnatembea na wanawake wenye gundu
Sikatai wana mapungufu yao lakini kuna wakati naweza semaMaskini wanawake.....!maskini wanangu....!
Kula tunda la mti wa kati ambapo hawa/eva alimshawishi adamu kama niko sawa