Gundu ni Nini

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,000
Reaction score
828,764
Gundu ni...
Unaamka asubh huku ukiwa na heng over ya jana ucku๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Unapasha maji kweny jiko la gec ili ukaoge,unayapeleka bafuni,unasahau kuyachanganya na yabard unajimwagia,,,unaungua unaanza kupiga kelele bafuni๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Unatoka nje kwa hasira huku ukiwa na maumivu
Ile unatoka nje ndege anapita ankunyea ,,unarusha jiwe ili ummpige unamkosa wakat huo baba mwenye nyumba ndio anafika anakutanalo la uso๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Unakimbia ndani haraka ili asikuone
Unajisahau kumbe ulifung mlango wa chumban kwako kwa speed uliokuwa nayo breki inafel unajipigiza mlangon unazimia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Baada ya muda unazinduka ,,

unaingia ndani unawasha feni haiwaki unataka kufanya utundu wako ili iwake unachanganya waya za hasi na chanya unapigwa shot unazimia tena๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Unazinduka baada ya masaa kadhaa huku ukiwa una njaa ya kutosha,,

Unatoka nje mara unaona watu wanakimbia huku wakisema "mwizi" mwizi" mara unamuona uyo mwiz unaokota jiwe unampiga kwa hasira uyo mwizi anaanguka anazimia๐ŸŽณ

Mara watu wanashika kichwa,,kumbe ulio mpiga sio mwizi watu walikuwa wana shuti muvi::::tangazo haukulisikia kwan wakat wanatangza ulikuwa umezima๐Ÿ˜‚

Waigizaj na raia wengine wanakuangushia kipondo(wanakupiga)

Unazima unajikuta upo hospital(raia wema walikusaidia)

Unaamka na wengee unakunywa drip kwakujua ni maji ya kandoro,,tumbo linaanza kuuma unpiga kelele๐Ÿ˜‚

Wankuja manesi unapatiwa huduma ya kwanza then unalala baada ya dakika chache unaamka mgongo unakuuma unamuomba mgonjwa mwenzio mnabadilishan kitanda unajifunika shuka gubi gubi unalala,,

kumbe sehem alipo lala uyo jama alitakiwa akafanyiwe uparaeshen ya kichwa,,mwisho wa siku unapelkwa ww unaaenda kufanyiwa opareshi wakat hata hauumwi(unapelkewa ukiwa umelala na unachomwa sindano ya usingiz unalala vizur)

baada ya upasuaj madokta ndo wanshtuka kuwa wamemix watu,wanakushona wankurudisha odini

Unaamka unaona kichwa kizito unakipiga piga,,unapiga sehem ya mshono unapiga kelele maumivu makali unazimia tena kesho unaamka gundu limeisha๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Copied!
 
Gundu ilinikumba mwa 2021๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Ilikuwa ngori!
 
Aliyegundua Pombe ametuachia msala mzito..
 
Gundu ni kuoa mchaga ukiumwa tu anakupikia dagaa.

Ili utumbo uchomwe chomwe na miba uzimie - Ukizinduka amekupikia dagaa wengine tena.

Unakula unakufa moja kwa moja ๐Ÿ˜†
 
Hahaha ilimradi tu ufe sio๐Ÿคฃ
 
Kwa ugumu huu wa maisha, afadhari siku mojamoja tuwe tunaletewa vichekesho.
Ila mbona kama kuna visa vya kweli...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ