Guinness my bia..

Aiseee ungenywea bar ungepasuliwa yai bichi
Hahah afu unapokunywa unahisi hazina kitu kama soda vile, nilipiga kama vichupa 9 shida ikaanza nlipotaka kunyanyuka. Ila hata nikiwaga nakunywa ngumu huwa sikubali ku hit threshold aise naelewa wahuni wanaweza cheza na sewage system yako kimasihara kabisa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raha ya pombe ni uinywe alafu isituvunjie heshima Kwa mkeo. Kuna bia zinalaza maumbile ya kiume,piga ya garagaza. Mkeo akiwa na roho nyepesi atakwambia umegonga nje.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Code:
p
Code:

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Watu wa jf bwana
Mara nyingi utakuta wanawaponda walevi.

Leo utawafuma hapa walevi nyomi, mpaka mods nao ni walevi wanafatilia pombe gani tamu..
Pia wale wa kujishongondoa wanakunywaga "Hennessy" watakuwepo hapa. .👇👇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…