Guinness my bia..

Mwaka 2014 mwishoni tulifanya rebranding ya hii beer, tulikuwa team ya vijana 12 kutoka katika nchi mbalimbali barani Afrika. tukiwa chini ya muungano wa kampuni mbili zilizokuwa zimepewa tenda ya kurebrand guiness, nakumbuka tulikuja na mawazo ya muonekano mpya wa chupa, na mambo mengi tu.
 
Guiness haichangamshi ubongo kama bia nyingine, ni sawa na dawa ya usingizi
 
Hiyo bia tunaiona sana baar
sisi wengine wazee wa hard drinks...
come black lebel, jameson and the like
 
Kile kijichupa chake cha zamani kiliifanya ionekane ya kipekee na yenye kuogopwa!
 
Niliwahi kuipiga hii Guinness nikapiga bao 5 bila kupumzika kesho huku jamaa bado kasimama wife akasema umekunywa viagra ? Tangu siku hiyo nikaiweka pembeni kiasi naipiga siku za show za kibabe sio bia ya watoto hii ***** .Mungu azidi kuitunza Guinness .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…