guiding book ya diploma nacte2017/2018

kwahiyo ikifunguliwa wataleta nyingine au ndo hii hii
Sifa za kujiunga ni hizo ila watatoa Guide Book rasmi itakayokupa utaratibu na hatua mbalimbali ya kujiunga na chuo ikiwepo na utaratibu wa kulipia hiyo fomu ya online.
 
wakuu naõmbeni kujua jinsi ya kuaply coz ya ualimu wa science..,nikipata link itafaa zaidi,nielewe hizo sifa na vigezo vinavyohtajika kwa mwaka wa masomuw 17/18
 
Sifa za kujiunga ni hizo ila watatoa Guide Book rasmi itakayokupa utaratibu na hatua mbalimbali ya kujiunga na chuo ikiwepo na utaratibu wa kulipia hiyo fomu ya online.
sasa mbona wamefungua tiali ila bado hiyo guiding uliokuwa unasema
 
Pitia hiyo wakati ukisubiri mtandao wa NACTE kufunguka kwa kujiandikisha
Binafs nmepitia hii ila kilichonkatisha tamaa sjaona course yoyote ya afya isiyolazmisha biology nahitaj kusoma afya lakn bios nliishia formII , wat shud I do jaman

Chemistry B
Physics A
Maths B
Geog A
 
pole ndugu
 
Sijawai kuona mwanafunzi anaacha Biology ktk Masomo yangu tangu olevel ww ndo mtu wa kwanza nasikia haukufanya Biology na wakati biology ni somo la lazima kusoma olevel....
Au ndo ulipata F biology labda
 
huyu inawezekana labda ndo mwanafunzi wa kwanza tanzania
 
Binafs nmepitia hii ila kilichonkatisha tamaa sjaona course yoyote ya afya isiyolazmisha biology nahitaj kusoma afya lakn bios nliishia formII , wat shud I do jaman

Chemistry B
Physics A
Maths B
Geog A
Najua fika wewe utakuwa umepitia shule za ufundi ndio maana ulipata option ya kuacha biology!!!

Kama ulisoma Zoology O level utaitumia kama mmbadala wa biology kuwa na amani.
 
Binafs nmepitia hii ila kilichonkatisha tamaa sjaona course yoyote ya afya isiyolazmisha biology nahitaj kusoma afya lakn bios nliishia formII , wat shud I do jaman

Chemistry B
Physics A
Maths B
Geog A
Yaani wewe una tatizo kama langu!Shule niliyosoma hairuhusu kuchukua Bios na Geog kwa pamoja!
 
Kwa'iyo hatuna ki'course chochote cha afya tunachoeza soma kwa basis ya Chemistry, Physics/Engr Science, Mathematics, Geography na English jaman?
 
kwawale mliopita nacte hivi guiding book na indication zao za ada ni sahihi ndizo utakazo zikuta
 
Binafs nmepitia hii ila kilichonkatisha tamaa sjaona course yoyote ya afya isiyolazmisha biology nahitaj kusoma afya lakn bios nliishia formII , wat shud I do jaman

Chemistry B
Physics A
Maths B
Geog A
Utakuwa "Tanzania One"
 
vipi wana jf,naombeni ushauri.,..nina maths B+,chem B-,bio B,history B,busines studies B+,nimefanya mtihani wa bodi ya kenya ya KNEC,nikawa na mean grade ya B,kwa sasa nimeshasoma B.admin. pale chuo cha kampala dsm,ngazi ya certificate...na gpa ya 4.4,nampango wa kuhamia kada ya ualimu wa science,je inawezekana?niko njia panda,cjui niafikie lipi coz kusoma cozi za busines naona hakutanifanikisha,ushauri jamani!!
 
Back
Top Bottom