Mmh...huyo mwenye guest nae!! kuokoka ni lazima imeandikwa wapi...mbona yeye hajaokoka? angekuwa kaokoka asingejenga jumba la kufanyia ngono..# Nonsense.
Nani aliyekudanganya kila Gesti ni nyumba ya kufanyia ngono?
Kisu kinatengenezwa kwa matumizi halali ya nyumbani na sehemu nyinginezo, lakini mbona kuna watu wanatumia kuua watu? Kwahiyo kisu ni haramu kisitumiwe na walokole?
Weweeee tusitake kudanganyana hapa...ni 2 kati ya 10 ndo wanaingia guest house kwasababu ya uchovu wa safari au vinginevyo....waliobakia 8 ni ngono tu!!!