Guest/Lodge Mwanza

Habari

Kwa yoyote anaefahamu lodge ya garama ya Tzs 20000/15
anifahamishe ,maeneo ya Nyagezi Mwanza.

Ahsanteni
Kuna ya elfu 15,000 inaitwa Magida Guest House wapigie kwa namba hizi hapa 0757955 901
umeona mambo yangu Eddy Love hahahahhahaahaha Mwanza naijua hadi uvunguni.
 
Unalalaje Guest Ya 20k Au 15k. Mwishoni Utaishia Kupigwa Chabo Unavyooga. Hauna Mwenyeji??Pole Lakini Kama Huna Zaidi Ya Hiyo!
 
sawa ,wako pale karibu? na nyagezi
Karibu na nini? Hawa wako karibu kabisa na kituo cha mabasi kama unataka kulala hapo kwa ajili ya safari au utakuja umechelewa. Ila kama kweli uko serious inabidi uwapigie mapema kwa ajili ya kufanya "reservation" au kama watakuambia ufanye "booking" kwa empesa watakupa maelekezo. Kumbuka namba za kupiga ni 0757 955 901 MAGIDA GUEST HOUSE
 
Habari

Kwa yoyote anaefahamu lodge ya garama ya Tzs 20000/15
anifahamishe ,maeneo ya Nyagezi Mwanza.

Ahsanteni
Unaonaje mm niwe mwenyeji utakula, utalala na kunywa bure, bado na pocket nitakutoa juu! Ndo raha ya kuwa na marafki!
Njoo mecco! Buzuruga!
 
Wewe Ndiye Unajishushia Hadhi Kuuliza Guest Ya Kulala Humu Wakati Sehemu Uliyoko Kuna Watu Wengi Wakuwauliza Kama Ni Mgeni
Mkuu hata akiuliza humu sio mbaya naamini anauliza hivyo ili kupunguza cost akifika huko iwe rahisi kupata maelekezo
 
usihangaike kutafta guest karibu kwangu maeneo ya Carifonia Nyegezi utapata room bure na chai juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…