Guest house katikati ya makazi ya watu

Guest house katikati ya makazi ya watu

mwenye shamba

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
1,031
Reaction score
1,900
Habari,jamani ni sahihi mtu kujenga guest house kwenye makazi?

Je,sheria zinasemaje juu ya hili?

Je,kama majirani ni hatua gani tuchukue ikiwa baraza la ardhi linasimama kutetea upande wa huyu jamaa?

Je ni sahihi kwake kutokuacha uchochoro(yani kamaliza eneo lake kabisa)
 
Waache watusogezee huduma karibu, unataka twende kwenye mitaro na mapagala
 
Acha unoko aka u-snitch, Guest House maana yake nyumba ya kulala wageni. Siku ukipata ugeni mkubwa nyumbani kwako unawachukulia wageni wengine chumba jirani na nyumbani kwenye hiyohiyo Guest House unayotaka kuipiga vita😀
 
Zinasaidia unapopata wageni wengi kwa wakati mmoja na wewe upo nyumba ya kupanga na una chumba kimoja
[emoji2] [emoji3]
 
Ni moja ya nyumba inayohitajika ktk jamii tatzo mmekariri mkiona guest mnawaza uzinzi tu
 
Kama kamaliza eneo lake lote yupo sahihi, ingekua si sahihi kama angemaliza eneo lisilo lake. Issue ya uchochoro ilipaswa iachwe na alie uza.
 
Habari,jamani ni sahihi mtu kujenga guest house kwenye makazi?

Je,sheria zinasemaje juu ya hili?

Je,kama majirani ni hatua gani tuchukue ikiwa baraza la ardhi linasimama kutetea upande wa huyu jamaa?

Je ni sahihi kwake kutokuacha uchochoro(yani kamaliza eneo lake kabisa)
Labda tujadiline hili la ujenzi bila kuacha uchochoro, lakini suala la guest house kujengwa ktk makazi ya watu ni sahihi kabisa kisheria kwani hiyo ni moja kati ya huduma za jamii hivyo haipaswi kujengwa ktk Industrial area ua vinginevyo na ikumbukwe kuwa kuna tofauti kati ya eneo la ujenzi wa guest house na hotel.
 
pende

pendekeza, nyumba pendwa zijengwe wapi
 
Ok sawa.vipi hilo la kutoacha uchochoro'
Labda tujadiline hili la ujenzi bila kuacha uchochoro, lakini suala la guest house kujengwa ktk makazi ya watu ni sahihi kabisa kisheria kwani hiyo ni moja kati ya huduma za jamii hivyo haipaswi kujengwa ktk Industrial area ua vinginevyo na ikumbukwe kuwa kuna tofauti kati ya eneo la ujenzi wa guest house na hotel.
 
Kila mtu anajenga mjengo wake kwa urefu na ukubwa wa kiwanja chake,hio ya kuacha uchochoro au barabara ni kazi ya wengine
 
Back
Top Bottom