Guest house gani morogoro nzuri?

Guest house gani morogoro nzuri?

integral sign

Senior Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
160
Reaction score
13
Jamani msaada kwa wale wa morogoro town, nina safari ya kufika morogoro na nitakaa wiki 1, je ni mahali gani pazuri pa kulala.
Conditions; self contained room,bei iwe elfu 10 hadi 20. Nitashukuru kama replies zitakua za kunisaidia. Mahali popote ila iwe karibu na town au twn

Wenu,
Integral sign
 
nenda pale round about ya msamvu kuna moja inaitwa Longido lodge, ni pazuri sana
 
kama unataka sehemu tulivu isiyo na rabsha,,,,basi chagua KOLA VIEW ipo njia ya kuelekea bigwa karibu na chuo cha ualimu Moro
 
Jamani msaada kwa wale wa morogoro town, nina safari ya kufika morogoro na nitakaa wiki 1, je ni mahali gani pazuri pa kulala.
Conditions; self contained room,bei iwe elfu 10 hadi 20. Nitashukuru kama replies zitakua za kunisaidia. Mahali popote ila iwe karibu na town au twn

Wenu,
Integral sign

Mpigie Adam Malima atakuelewesha vizuri... yule jamaa wa kuibiwa Smg Moro anazifahamu vizuri..
 
Nenda FAM INN au STAR lodge kihonda maghorofani
 
Ukitaka na totoz za bei chee nenda moro night almaarufu kaumba

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nadhani kwa majibu haya, inaonekana kuna umuhimu wa mataalam wa hospitality industry aje atiririke humu ndani tofauti kati ya Guest house, lodge, hotel nk, nk, nk nasikia kuna mpaka mpaka spa
 
kaka jivute pale Chipukizi ni sehemu tulivu sana na huduma zote zinapatikana kwa bei hiyo hapo
 
Nenda lodge guest house wamezoea short time utawatia hasara
 
Nyuma ya stendi ya msamvu zipo nyingi tu kwa bei hiyo unayotaka na kumetulia kiaina.
 
Back
Top Bottom