Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Narudi kibaruani kumtumikia kafiri....
Safari hii nimepatikana.... kupenda kwangu safari koote kumeniisha, sina hamu.
Hiyo stila ya fragile hiyo..... humo ndani vyote vimepasuka halafu ni zawadi ya thamani sana hasa kwa mtu aliyenipa. .. nami nikaibeba kwa uthamani ule ule niliopewa. ....
Dooh... Nimeumia sana... sanaa.
Crying Kasie.