Kama haujapiga bapa akili yako inakuwaga fresh Sana!Ndoa za mkataba ni muhimu ziwepo mambo ya kuishi na mtu moja kwa moja ni tabu tu
Huo mkataba ungekua renewed kila mwaka. Mkataba ukikaribia kuisha kila mmoja angekua mahaba moto mogo ili arenew mpya.Ndoa za mkataba ni muhimu ziwepo mambo ya kuishi na mtu moja kwa moja ni tabu tu
Yeah hata Mimi wazo langu limelenga hapo bibieHuo mkataba ungekua renewed kila mwaka. Mkataba ukikaribia kuisha kila mmoja angekua mahaba moto mogo ili arenew mpya.
Hivi inakuaje hii kwamba mkataba ukiisha mnakaa chini kujadiliana mrenew au lah? Vipi kuhusu kipengere cha mgao wa mali kinakuwepo?Ndoa za mkataba ni muhimu ziwepo mambo ya kuishi na mtu moja kwa moja ni tabu tu
Huo ujumbe wa simu ulikua unasemajeKuna jamaa alikuwa na mahusiano yenye umri wa takribani miaka kumi mpaka wakulungwa wakaamini hawa ni kifo tu kitawatenganisha, Ila huwezi amini message moja tu ya simu iliua haya mahusiano tukabaki midomo wazi.
Tulichojifunza ni kuwa umri wa mahusiano yenu hauguarantee ndoa.
Ni kweli.Tulichojifunza ni kuwa umri wa mahusiano yenu hauguarantee ndoa.
Kuna jamaa alikuwa na mahusiano yenye umri wa takribani miaka kumi mpaka wakulungwa wakaamini hawa ni kifo tu kitawatenganisha, Ila huwezi amini message moja tu ya simu iliua haya mahusiano tukabaki midomo wazi.
Tulichojifunza ni kuwa umri wa mahusiano yenu hauguarantee ndoa.