wapenzi wa GTA wafurahie kujua kuwa GTA V itakuwa madukani kuanzia kesho. nimepata fursa ya kuicheza na hata kama mie sio mpenzi wa GTA, nimekubali sana hii V. GTA V itakuwa out on PS3 na XBOX 360, ila kuna rumors itakuwa ported kwa PS4 na PC mwaka kesho.
GTA V ndo imekuwa the most expensive game ishawai tengenezwa, na budget ya $265 million