Thanks a lot... Windows 7 64 bit...1. Ufahamu hio Ni software ya Box, inahitaji uwe na kifaa chake kuweza kutumia Kila feature, zipo za kuchakachua zisizotumia box pia,
2. Hapo juu kushoto palipoandikwa port Mara nyingi software za namna hii inatakiwa isome na kuandika port ya USB ambayo simu imechomekwa.
Umeinstall driver's za mediatek za simu husika? Maana hii inakuwa ndio challenge kubwa ya hizi box, hasa vile hizi drivers zake hazipo signed.
Na unatumia windows gani?
Hapa ni wakati wa kuflash sio?? Bado sijafanya operation hii... Na nategemea soon nitafanya hii nikikwama pia nitakuuliza mkuu... Asante sana
Tumia njia hii kutoa password kwenye simu yako Bypass Pattern, Pin and Password on all MTK Phone using GSM Aladdin boxHapa ni wakati wa kuflash sio?? Bado sijafanya operation hii... Na nategemea soon nitafanya hii nikikwama pia nitakuuliza mkuu... Asante sana
Thanks a lotTumia njia hii kutoa password kwenye simu yako Bypass Pattern, Pin and Password on all MTK Phone using GSM Aladdin box
naombeni mwongozo hapa, nina hizi simu ndogo za tecn 1465, nawezaje kuiflash? natumia windows 10 64 bit. Nimedownload gsm alladin lakini sijaelewajinsi ya kuitumia1. Ufahamu hio Ni software ya Box, inahitaji uwe na kifaa chake kuweza kutumia Kila feature, zipo za kuchakachua zisizotumia box pia,
2. Hapo juu kushoto palipoandikwa port Mara nyingi software za namna hii inatakiwa isome na kuandika port ya USB ambayo simu imechomekwa.
Umeinstall driver's za mediatek za simu husika? Maana hii inakuwa ndio challenge kubwa ya hizi box, hasa vile hizi drivers zake hazipo signed.
Na unatumia windows gani?
Maelekezo kidogo maana na mimi nilidownload nikashindwa kuinstall izo za mediatek Maelekezo kidogo maana na mimi nilidownload nikashindwa kuinstall izo drives za mediatek,1. Ufahamu hio Ni software ya Box, inahitaji uwe na kifaa chake kuweza kutumia Kila feature, zipo za kuchakachua zisizotumia box pia,
2. Hapo juu kushoto palipoandikwa port Mara nyingi software za namna hii inatakiwa isome na kuandika port ya USB ambayo simu imechomekwa.
Umeinstall driver's za mediatek za simu husika? Maana hii inakuwa ndio challenge kubwa ya hizi box, hasa vile hizi drivers zake hazipo signed.
Na unatumia windows gani?
Tatizo kubwa la mediatek drivers zao sio verified hivyo kuna step kadhaa za kufuata kwa windows 7 na step nyingi zaidi win 10.Maelekezo kidogo maana na mimi nilidownload nikashindwa kuinstall izo za mediatek Maelekezo kidogo maana na mimi nilidownload nikashindwa kuinstall izo drives za mediatek,
Nahitaji sana hili somo
Asante mkuu nitajaribu kufanya ivoTatizo kubwa la mediatek drivers zao sio verified hivyo kuna step kadhaa za kufuata kwa windows 7 na step nyingi zaidi win 10.
Step by step jinsi ya kuzieka utaona hapa
How to install Mediatek USB VCOM drivers in Windows
This step-by-step guide will explain how to manually install MTxxxx MediaTek USB VCOM drivers on a Windows PC. This procedure is universal so it'll work for all Mediatek devices whether Smartphone, Taforum.hovatek.com