Group za Whatsaap Ni shidaa

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
sijakaa sawa nikajikuta nimeungwa grup la clasmets wa O-level.....nikakausha

siku mbili baadae naombwa namba na clasmet wa primary eti nimpe no nayotumia watsap kabla sijamjibu nikaungwa....la pili ilo

juzi nimeungwa la wana chuo,mtaani ninalo wa wazazi wa jumuiya....bado nna grup la wanywaji wenzangu..bado nna grup la ukoo !!

nimejikuta nna magrup 9 mpaka sasa message hadi 1500......ukijitoa unaonekana unaringa...aisee hii kitu ni hatari!!

bado jf,fb,insta and tweeter...kaz mtafanya kweli bandugu???hii ni thidaaa
 
U are not a tree, if you dont like where u are, just move.....
 
live ur life mkuu...usiishi the way watu wanavyotaka una akili timamu kataa delete group hizo simu ni yako
 
  • Thanks
Reactions: rpg
Join groups but don't be active member if u don't like them, groups zina faida nyingi na hasara pia kutegemea na aina ya group
 
sijakaa sawa nikajikuta nimeungwa grup la clasmets wa O-level.....nikakausha

siku mbili baadae naombwa namba na clasmet wa primary eti nimpe no nayotumia watsap kabla sijamjibu nikaungwa....la pili ilo

juzi nimeungwa la wana chuo,mtaani ninalo wa wazazi wa jumuiya....bado nna grup la wanywaji wenzangu..bado nna grup la ukoo !!

nimejikuta nna magrup 9 mpaka sasa message hadi 1500......ukijitoa unaonekana unaringa...aisee hii kitu ni hatari!!

bado jf,fb,insta and tweeter...kaz mtafanya kweli bandugu???hii ni thidaaa
Kunajingine sasa la wanawake mijimama yenye nazo yanatafuta vijana tu unaambiwa nikundi la kutoa papuchi tu!!
 
kuna jamaa yangu mkikaa nae nii sms mwanzo mwisho. nikasema sitakaa nijiunge na hayya makitu.
 
It's rude to chat for hours while you're in the company of other people, soo un cival!
yaani unakuwa unazingua mno. mi mgeni akija hata Tv siwashi nasema tuongee. sasa ukianza na mawasapu unakuwa unanitibua sana. na ntakudharau.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Kuna kundi nilijiunga, lilinishindaa nikajitoa. Sms kibao na hazina kichwa wala miguu
 
yaani unakuwa unazingua mno. mi mgeni akija hata Tv siwashi nasema tuongee. sasa ukianza na mawasapu unakuwa unanitibua sana. na ntakudharau.

Heri yako wewe umeliona hilo, watu wanaona ni ujanja kumbe?!, I wish wangelijua!
 
yaani unakuwa unazingua mno. mi mgeni akija hata Tv siwashi nasema tuongee. sasa ukianza na mawasapu unakuwa unanitibua sana. na ntakudharau.

Na wanaoelewa hili, na kama wana nafasi ya kutosha ndani ya nyumba wanakuwa na TV room, na Sitting room, na vinginevo,...different rooms for different purposes!
 
Back
Top Bottom